Taarifa nyeti: Mbinu za wizi wa kura hizi hapa - PART 2

Mbona uzushi unaendelea sasa!!!?.


hakika humu hakuna jibu sahihi,ndio maana mleta mada anawaagiza watu wenye mkono mkubwa kukomaa na hii ishu.ni ndogo tu na kama yupo majibu yatapatikana soon.

CS na CGP hawajazushiwa kifo kumbuka.

Wewe Ndo Unae Unaeundeleza...
 
Kuna watu sijui wanawaza kwa kufikiri viungo gani vya mwili. Daftari lipo wazi na kila chama cha siasa kina haki ya kulipata. Sasa eti waache mikutano ya kampeni kuhangaikia daftari huu si ufedhuli kabisa?
Mkuu unamahanisha wapinzani ukawa wanaomba kupewa daftari ambalo wanalo?
 
LIWEKWE WAZI kwa nani tarifa za mtu binafsi siyo za wanasiasa wakome kutaka tarifa zetu mie zangu sitaki wapewe wanasiasa hata kidogo myika akapewe zake na mkewe siyo zetu.
Tulia sindano iingie wewe gamba kwani wewe ni nani taarifa zako zisipekuliwe?
 
Mkuu, kuna watu wajinga sana sijapata kuona. UKAWA ni mkusanyiko wa wajinga na wapumbavu

ndio basi tena ukuu wa wailaya wa miezi mitatu ndio mwisho mpumbavu ni huyo alikupa nafasi kubwa wakati kichwani huna kitu mtu hovyo kabisa
 
Unaowaona ni "wajinga" ni watanzania! Lugha hii ya dharau na kejeli itakutoka lini?
Uwe na busara angalao kidogo ndugu yangu. Hata ndani ya huo "ujinga" unauona kuna cha kujifunza...
 
LIWEKWE WAZI kwa nani tarifa za mtu binafsi siyo za wanasiasa wakome kutaka tarifa zetu mie zangu sitaki wapewe wanasiasa hata kidogo myika akapewe zake na mkewe siyo zetu.


Ficha upumbavu wako.
 
Mkuu Mtoa Mada Ni Wewe Tu Na Upungufu Wako Wa Taarifa.Ni Hivi Hilo Daftari Vyama Vyote Vimepewa Uhuru Wa Kuliangalia Na Kujiridhisha,zaidi Ya Hapo Wameshapewa Taarifa Vyama Vyote Kupeleka Ma IT Wao Ili Kukagua Mfumo Watakao Tumia Nec....Halafu Mtoa Mada Unaweza Ukanipa Sababu Ya Wewe Kumuulizia Mwamunyange?Last Year Inamaana Ulimwona Mwaka Mzima??

Mkuu wa Majeshi yupo wapi?...Tutaendelea kumuulizia mpaka tujue alipo...kama unajua tunaomba utusaidie kufahamu,

hii nchi hata mki...ua ...hamtamaliza kila mtu, Watakuwepo watakao endelea kudai haki. Hivyo ndivyo Mungu aliumba Binadamu.
 
Na ninyi ni genge la wahuni tu, mafisadi wakubwa na majangili, mkifuatiliwa na issues zenu kutibuliwa mnaanza kulia lia tulieni tu dawa iingie vizuri........

Kwa ujumla nasema Mkapa hajakosea popote kuwaita baadhi yetu ni wapumbqvu na malofa. Mbali ya wengi wetu kumwelewa Lizabon kuwa lazima shingo imkauke kutetea buku saba yake Lumumba nachanganyikiwa kwa wale wanaomuunga mkono kwa hasara yao wenyewe mradi ni chama chao. Nasema watanzania kwa akili za namna hii acha muendelee na mateso yenu hata kwa miaka ishirini ijayo. Mtabaki na fulana, kapero, upande wa kanga na pilao mnazolishwa mkija kujitambua nchi imebaki tupu na madeni ambayo hata na vilembwe vyenu hawataweza kulilipa na lazima mkoloni arudi kuwatawala.Ipo tofauti kubwa kati ya daftari la wapiga kura na orodha ya wapiga kura inayobandikwa nje kwenye kuta za chumba cha kupigia kura kwa wapiga kura kusoma majina yao. Daftari la uchaguzi linaakisi (duplicate) ya majina ya wote walioandikishwa kwenye kituo, wilaya na hadi mkoa husika. Unapoingia kwenye chumba cha kupigia kura hiyo tar.25/10 unasomewa/kusomwa jina toka kwenye daftari la mpiga kura na sio kwenye orodha iliyobandikwa ukutani nje.Kwa maana hiyo hiyo unaweza kukuta majina mengi zaidi kwenye daftari yasiyo kwenye orodha ya nje. Hivyo hivyo unaweza ukalisoma jina lako nje kwenye orodha na lisiwepo kwenye daftari na hutaruhusiwa kupiga kura. Jina lako likiwepo kwenye daftari na hata kama halipo nje kwenye orodha utaruhusiwa kupiga kura. Hapo tayari goli la mkono lipo na litahesabiwa. Siku zinaenda ukingoni na umuhimu wa kampeni kwa wagombea upo pale pale kwani hawajakamilisha mikoa yote. Hivyo hivyo ulivyo umuhimu wa ukawa kupewa hilo daftari mapema hata pamoja na siku zinakaribia kumalizika. Logic ya tume ya uchaguzi au m/kiti au yeyote kwenye tume hiyo ya uchaguzi aliemjibu makamu m/katibu mkuu wa chadema nd.Mnyika kuwa ni lazima waende aidha Mbowe au Lowassa siioni zaidi ya kuelewa tu kuna kinachofichwa na wao wanavuta tuu muda. Sasa ndio ile ile mantiki yangu kwenye michango ya nyuma nilipoonya vyama vya upinzani kuingia kwenye uchaguzi bila uandikishwaji wa katiba mpya au kufanyiwa marekebisho baadhi ya vifungu na kuwa na tume huru ni kushindwa uchaguzi kabla ya kuanza. Haya yote yasingewezekana kama vyama vinavyoshiriki uchaguzi vingekuwa na tume huru inayowashirikisha baadhi yao wenyewe. Sasa katika hali na mazingira kama haya kwenye uchaguzi huo ushindi wa haki unaupataje?
 
Mkuu wa Majeshi yupo wapi?...Tutaendelea kumuulizia mpaka tujue alipo...kama unajua tunaomba utusaidie kufahamu,

hii nchi hata mki...ua ...hamtamaliza kila mtu, Watakuwepo watakao endelea kudai haki. Hivyo ndivyo Mungu aliumba Binadamu.

Kwanini Mnamuulizia Kipindi Hiki?
 
Nilivutwa na heading yako kumbe unaandika upumbavu mtupu, daftari lawapiga kura liko wazi kwa yeyote ukiwemo wewe na hofu ya kuibiwa unayo wewe na wajinga wezako mnaokimbia vivuli vyenu.

Mkuu wa majeshi kama unataka kujua habari zake nenda nyumbani kwake au nenda Makao Mkuu ya jeshi waulize nina shida na General Davis Mwamunyange na siyo Mkuu wa Majeshi kwani wewe unasumbuliwa na jina Mkuu wa majeshi yupo na kazi zinaendelea au umepungukiwa nini ukaambiwa mpaka awepo afande Genaral Mwamunyange ndipo uhudumiwe? Tumia akili kufikiri na siyo kukurupuka na kuunganisha mambo kwa kadri ya ujinga wenu. Mbona siku zote hujafuatilia ziara za CDF ila mwezi huu tu imekuwa mtu asifanye shughuli zake kwa sababu ya wewe mjinga mmoja kutoelewa mambo basi kila mtu awe anaripoti kwako. Yaani unataka CDF kweli aje JF kujieleza hivi unajua mamlaka ya CDF wewe? Mambo mengine mkikosa kazi muwe mnakaa kimya siyo kupayukapayuka huyo siyo mwanasiasa haguswiguswi ovyo chunga sana ulimi wako chezea wanasiasa na siyo Mkuu wa majeshi mjinga wewe.
unavyoropoka sasa, utafkiri umetupia kitu cha jogoo
 
Kuna watu sijui wanawaza kwa kufikiri viungo gani vya mwili. Daftari lipo wazi na kila chama cha siasa kina haki ya kulipata. Sasa eti waache mikutano ya kampeni kuhangaikia daftari huu si ufedhuli kabisa?

Wakiacha mikutano ya kampeni wewe unapata hasara gani? Shughulika na yako!
 
Kuna watu sijui wanawaza kwa kufikiri viungo gani vya mwili. Daftari lipo wazi na kila chama cha siasa kina haki ya kulipata. Sasa eti waache mikutano ya kampeni kuhangaikia daftari huu si ufedhuli kabisa?
Siku 9 za mkuu wetu wa ulinzi roma hazijaisha?
 
huyo BADO MMOJA anajifanya yeye anajua sana kuhusu CDF, eti tukae kimya.

Tukiuliza kuna shida gani? eti kwanini usifuatilie toka zamani? maswali ya kijinga sana, jua kila jambo na wakati wake, na wakati umefika lazima tujue alipo, mtatisha wangapi?...

Tutajua tu na utaona kama hatutojua, na kama wewe unajua tueleze.
kama hujui kaa kimya maana swali hili halikuhusu.
 
Benedict Ngonyani adai mahakamani kwamba atakubali shitaka linalomkabili mahakamani la kuzusha taarifa za uongo dhidi ya mkuu wa majeshi,generali Mwamunyange,endapo..mkuu huyo atajitokeza akiwa ni mwenye afya.Mambo ya hoja mahakamani hayo !
 
wewe ni mwongo na mzushi sijui kwanini sheria mpya isitumike kukufundisha adabu
 
Yaane katika wanaoheshimika mbatia na mbowe wamo? Hima tumfyeke lowassa na genge lake tuendelee na mambo mengine
 
Back
Top Bottom