Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
uamuzi huu mgumu umefikiwa baada ya kuibuka kundi wafuasi wa wakati ndio sasa kuhakikisha ndoa haifungwi, kwani tangu nilipotangaza nia ya kumchukua charminglady imefikia hatua tumetumiwa sms za kutishiwa maisha kama tutaendelea na utaratibu, wapo waliojitokeza kudai ni wake zangu, wapo wanaodai mimi ni mkimbizi, wapo wanaodai mimi na mchumba wangu ni ndugu, ilimradi kila mtu aseme analotaka kusema.... sasa kwa taarifa yenu tunaisogeza tarehe ya kufungwa ndoa ili iwe mapema zaidi kwani daktari MziziMkavu amethibitisha kuwa mimi si mgumba kwani tayari bibie anakitu cha miezi miwili...
Last edited by a moderator: