Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Jamani nimepigiwa simu na rafiki yangu anaye julikana kwa jina la wakati ndio sasa kanituma niwataalifu wanachitchat kuwa kuanzia leo amepigwa ban hadi tarahe 9 Sept hii imetokana na kuchangia kwa jaziba katika ile post iliyo kuwa inahusu wapiga mzinga.aidha kanituma niwafikishie salamu hizo wote hasa St. Paka Mweusi na beibe nasty pia amedai pamoja na yeye kuwa kifungoni mapenzi yake kwa charminglady hayatakoma kamwe.
Nawasilisha
Nawasilisha
Last edited by a moderator: