Taarifa kwa wana chitchat wote

Unafurahia mateso ya mwenzio sio?
Kumbuka kila mla cha wenzie na chake huliwa.

hebu shindwa na ulegee kwa jina lako mwenyewe, nani anakula vya mwenzie. lini na wapi mi nikawa mali ya wns au ndo alikuwa anasotea. . . na bdo mtavimba mpasuke me na MtotoSix ndo kwanza kunakucha ati. . .
 
Last edited by a moderator:
We ulitaka asemeje kwan si amempa pole inatosha hebu bana bishanga ustake kuleta za kanyigo

Nimekereka...no wonder segerea,maweni,isanga,butimba etc asilimia kubwa ya inmates kwa namna moja ama nyingine wameponzwa na wanawake,yaani mwenzio unamgeuza ndom ukishamtumia unatupa kurrrreeeee,poor wns.
 
hebu shindwa na ulegee kwa jina lako mwenyewe, nani anakula vya mwenzie. lini na wapi mi nikawa mali ya wns au ndo alikuwa anasotea. . . na bdo mtavimba mpasuke me na MtotoSix ndo kwanza kunakucha ati. . .

Mtoto6 angejua. Ngoja nimwite Mamndenyi aje amshauri kiutu uzima.
 
Last edited by a moderator:
Nimekereka...no wonder segerea,maweni,isanga,butimba etc asilimia kubwa ya inmates kwa namna moja ama nyingine wameponzwa na wanawake,yaani mwenzio unamgeuza ndom ukishamtumia unatupa kurrrreeeee,poor wns.

Nin sasa kujambishwa ajambishwe mwingne we tumbo lakuuma nin sasa hebu yangoswe muachie ngoswe bishangaa hii ngoma yao waache wacheze wenyewe
 
Jamani nimepigiwa simu na rafiki yangu anaye julikana kwa jina la wakati ndio sasa kanituma niwataalifu wanachitchat kuwa kuanzia leo amepigwa ban hadi tarahe 9 Sept hii imetokana na kuchangia kwa jaziba katika ile post iliyo kuwa inahusu wapiga mzinga.aidha kanituma niwafikishie salamu hizo wote hasa St. Paka Mweusi na beibe nasty pia amedai pamoja na yeye kuwa kifungoni mapenzi yake kwa charminglady hayatakoma kamwe.
Nawasilisha

Mwambie time is now mi nipo memmis pia ila mwambie roho yake mbaya na alivonipondea juzijuzi hapa pia imemcost
 
Last edited by a moderator:
Nimekereka...no wonder segerea,maweni,isanga,butimba etc asilimia kubwa ya inmates kwa namna moja ama nyingine wameponzwa na wanawake,yaani mwenzio unamgeuza ndom ukishamtumia unatupa kurrrreeeee,poor wns.

fyi wns sijawah kumkubali,sasa hyo kauli ya kwamba nimemtumia inatoka wapi mkuu. ni kweli alionesha nia ya dhati lakini me sikutaka kuwa mnafiki nikamwambia ukweli kuwa simpendi. swali kwako. je ulitaka nimdanganye danganye tu ?????
 
Jamani nimepigiwa simu na rafiki yangu anaye julikana kwa jina la wakati ndio sasa kanituma niwataalifu wanachitchat kuwa kuanzia leo amepigwa ban hadi tarahe 9 Sept hii imetokana na kuchangia kwa jaziba katika ile post iliyo kuwa inahusu wapiga mzinga.aidha kanituma niwafikishie salamu hizo wote hasa St. Paka Mweusi na beibe nasty pia amedai pamoja na yeye kuwa kifungoni mapenzi yake kwa charminglady hayatakoma kamwe.
Nawasilisha

Mpe pole .
 
Last edited by a moderator:
Nimekereka...no wonder segerea,maweni,isanga,butimba etc asilimia kubwa ya inmates kwa namna moja ama nyingine wameponzwa na wanawake,yaani mwenzio unamgeuza ndom ukishamtumia unatupa kurrrreeeee,poor wns.

Bishanga kwani ndo mara yako ya kwanza kusikia mwanamke anamtosa jamaa mwingine laivu laivu anajisalimisha kwa mwanaume mwingine? unadhani Rkelly alipokuwa anaimba When woman loooooooooooooves She loves for............(malizia)
 
Last edited by a moderator:
Bishanga tatizo lenu wanaume hampendi kuambiwa ukweli, mnapenda kuwekwa ma-spare tyre. mie sina tabia ya unafiki tangu mwanzo nilimpa wakati ndio sasa black n white kwamba me sim-feel hata kidogo ama ulitaka nimdanganye danganye. aku babu ee sijafunzwa hvo hata kidogo. nina haki ya kumpenda nimtakaye. MtotoSix uko wapi beibe wangu hebu njoo huku tukafungue kinywa!!!!!

mpenzi nshafika tukapate kifungua kinywa, maana hapa mahasidi ni wengi, hawataki kuona penzi letu changa linachanua, wapunguze tu wivu, kila adam kaumbiwa eva wake wa kumpenda, kama umemkosa charminglady basi ujue Mungu kakuepusha na mabaya kama kudanganywa danganywa...........twendezetu mama
 
Last edited by a moderator:
Mpe pole mwambie akija ajiite wakati ndio ule maana wakati wake utakuwa umeshapita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom