Taarifa kwa wana chitchat wote

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Jamani nimepigiwa simu na rafiki yangu anaye julikana kwa jina la wakati ndio sasa kanituma niwataalifu wanachitchat kuwa kuanzia leo amepigwa ban hadi tarahe 9 Sept hii imetokana na kuchangia kwa jaziba katika ile post iliyo kuwa inahusu wapiga mzinga.aidha kanituma niwafikishie salamu hizo wote hasa St. Paka Mweusi na beibe nasty pia amedai pamoja na yeye kuwa kifungoni mapenzi yake kwa charminglady hayatakoma kamwe.
Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
dah! So sad tranguility,kiukweli ban inauma sana.pole sana mr Time is now tutakumiss sana.tunashukuru kwa taarifa ndugu Madabhali Jnr.Baada ya taarifa hii nimepata mashaka na kutokuonekana kwake junior .Cux mwenye taarifa zake anijulishe tafadhari nimemiss sana nilimzoea kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Nawe mfikishie salamu,
mwambie wanaume hawashindani kwa kujibizana maneno,
wanashindana kwa kuhonga na kuopoa mademu wazuri.
Ila tutam-miss.

St. Paka Mweusi rafikio katangulia,
utacheza kombolela na nani?
Shauriro.
 
Last edited by a moderator:
Mpe pole sana.

nipo nae hapa,jamb kachanganyikiwa aise!anaona charminglady anaingia kwenye uhusiano taratibu huku yeye akiwa mahabusu ambayo unaona kinachoendela lakini huwez sema kitu.
 
mkuu mpe pole sana, unajua msema kweli ni mpenzi wa Mungu. mie sikutaka kumpotezea muda. kiukweli sikuwah kumpenda wakati ndio sasa hata ukucha sasa kwanini ni-pretend. kwa sasa naamini huyv MtotoSix ndie chaguo langu na mi ndo ubavu wake. natumai shughuli itamkuta ashatoka kifungon!
 
Last edited by a moderator:
nnachompendea huyu mwanamke charminglady ni tabia yake ya uwazi....maana angekuwa mwingine angenidanganya yuko single na huku anaendelea na wakati ndio sasa uzuri kwa mkono wake kaandika jinsi anavyo jisikia kuhusu uyo bwana na mimi nisivyo na hila wala ufisadi niacheni nifaidi penzi la mtoto charminglady
 
Unaona raaaaaha! eeeh! kila wakati una majira yake!
 
Last edited by a moderator:
baba v mbona ivo ndugu yangu si uache jaman hee mwishowe uonekan wale wanaopaa na ndege zisizotumia mafuta,

Cl n mtoto six go on my dears hapa wakaaanga sumu hawakosi
 
mkuu mpe pole sana, unajua msema kweli ni mpenzi wa Mungu. mie sikutaka kumpotezea muda. kiukweli sikuwah kumpenda wakati ndio sasa hata ukucha sasa kwanini ni-pretend. kwa sasa naamini huyv MtotoSix ndie chaguo langu na mi ndo ubavu wake. natumai shughuli itamkuta ashatoka kifungon!

Ama kweli wanawake mna roho mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
nnachompendea huyu mwanamke charminglady ni tabia yake ya uwazi....maana angekuwa mwingine angenidanganya yuko single na huku anaendelea na wakati ndio sasa uzuri kwa mkono wake kaandika jinsi anavyo jisikia kuhusu uyo bwana na mimi nisivyo na hila wala ufisadi niacheni nifaidi penzi la mtoto charminglady

pokea likes za kufa mtu wa ubani. so mwa mwa mwa mwaaaa!
 
Last edited by a moderator:
nnachompendea huyu mwanamke charminglady ni tabia yake ya uwazi....maana angekuwa mwingine angenidanganya yuko single na huku anaendelea na wakati ndio sasa uzuri kwa mkono wake kaandika jinsi anavyo jisikia kuhusu uyo bwana na mimi nisivyo na hila wala ufisadi niacheni nifaidi penzi la mtoto charminglady

Unafurahia mateso ya mwenzio sio?
Kumbuka kila mla cha wenzie na chake huliwa.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli wanawake mna roho mbaya sana.

Bishanga tatizo lenu wanaume hampendi kuambiwa ukweli, mnapenda kuwekwa ma-spare tyre. mie sina tabia ya unafiki tangu mwanzo nilimpa wakati ndio sasa black n white kwamba me sim-feel hata kidogo ama ulitaka nimdanganye danganye. aku babu ee sijafunzwa hvo hata kidogo. nina haki ya kumpenda nimtakaye. MtotoSix uko wapi beibe wangu hebu njoo huku tukafungue kinywa!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom