Taaluma ya ukahaba inatolewa nchini Hispania

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Chuo cha kufundisha ukahaba kimeanzishwa huko nchini Hispania na gharama ya kusoma kozi hiyo ni euro 100.Kampuni inayohusika na kuanzisha kwa kozi hiyo imeshinda changamoto zote za kidini na kijamii kwa kutimiza taratibu zote za kisheria.Hata hivyo,kampuni hiyo ilipata wakati mgumu kwa kuwekewa vikwazo na taasisi za kidini;na hatimaye serikali ya Hispania iliridhia kwa kozi hiyo kuwepo,na kampuni imeahidi kufanya kozi hiyo kuwa salama kwa wahitimu.
TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
 
Wema sepetu na wenzake waende wakapate taaluma hiyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom