Taa ya ajabu

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Kwa wale wenzangu wanaotumia Mishumaa, Kandili, Taa za kuchaji kwa umeme n.k hasa kipindi hichi cha mgao wa umeme, nawaleteeni.....

TAA YA AJABU
CB_GSM.jpg

CRANK BOX KUTOKA ECOSOFT - NL
PATA MWANGA/CHAJA YA SIMU BURE KWA TZS: 30,000/= TU!!
TUPIGIE: - 0653 297681​

Mkuu mbona taa yako siyo ya ajabu kabisa! Zipo taa zenye muundo kama huo kule kigoma kwenye maduka yanayouza vifaa vya solar. Taa hizo zinaunganishwa na ka-solar pannel kadogo ambako unakaweka kwenye jua ili kuchaji betri yake. Taa hiyo ina sehemu ya kuchaji simu pia. Kitu cha ajabu pengine ni bei ya taa hiyo kule kigoma kuwa sh.50,000/-, badala ya sh.30,000/-
 
Mkuu yangu ni ajabu manake haitumii hata hiyo solar ati.
Karibu mkuu..
 
Mkuu yangu ni ajabu manake haitumii hata hiyo solar ati.
Karibu mkuu..
Mkuu sio ya ajabu sababu inatumia crank-shaft kuzungusha kwahiyo energy inakuwa stored kwenye coil na kuwa released polepole kama mwanga au voltage ya ku-charge simu..

Yaani haina tofauti na dyanamo (taa ya baiskeli) ila hapa energy inakuwa stored wakati kwenye baiskeli inakuwa realeased moja kwa moja

Kwahiyo Mkuu kwa suala la kibiashara na matangazo tuiite ya ajabu, lakini in reality hakuna ajabu yoyote
 
Dah Mimi huwa sitii neno lakini leo wacha niseme!! Hizo taa mimi ninavyojua Zimetengenezwa maalum ughaibuni kwa ajili ya msaada kwa wana vijiji mitaa ya kusini juu kama bingwa anavyosema hapo juu ikiwemo kigoma!! Leo Biashara tena ya kutangazwa kwenye internet!? wabongo kazi tunao
 
kaka Doup haitoki china iyo kaka, inawezekana waizalishie huko lakini imevumbuliwa na mabingwa flani nchini Dk. katika fikira zao za jinsi gani watatue matatizo ya wananchi wasio na umeme huku kwetu!!
 
Back
Top Bottom