Sheria zetu mara nyingi zinakuwa influenced na nguvu nyingine zaidi ya sheria tu, mfano kama ni mtoto wa kiongozi au mkubwa ukipatikana na kosa ukawekwa rumande au kupumzisha mahabusu ya polisi unaweza kutolewa nje kabla hata taratibu zote hazijakamilika.
Kwa kosa kama la huyu jamaa(TID) kwenye nchi nyingine ni adhabu ya kutumikia jamii tu ingetosha sababu hapa kuna gharama nyingine serikali inabidi iingie kumtunza gerezani kwa mwaka mzima.
Kwa kosa kama la huyu jamaa(TID) kwenye nchi nyingine ni adhabu ya kutumikia jamii tu ingetosha sababu hapa kuna gharama nyingine serikali inabidi iingie kumtunza gerezani kwa mwaka mzima.