Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Kampuni ya Kimarekani ya Symbion iliyonunua Dowans itaanza kuuza umeme Tanesco kuanzia kesho Jumanne.
Symbion itaanza kwa kuiuzia Tanesco umeme wa majaribio wenye megawati 120 wakati majadiliano juu ya makubaliono kamili ya manunuzi ya umeme yakiendelea. Hayo yamedhibitshwa na afisa mmoja wa Tanesco aliyeongea na Fox News leo. Msemaji wa Symbion bado hajapatikana kudhibitisha haya.
Habari na Fox News.
Tulianza na richimond ikabakwa ikazaa dowans kwavile dowans ilipatikana kiharam nayo imeza symbion kwa mfumo uleule kunatetesi tanesik wamefanya hujuma zamgao waumeme kutupofosha macho ili kuharalisha ufisadi mwingine haya magamba badala ya kuyavuwa wanazidi kuyava hakuna cha tenda kapatejee? Huomkataba chadema washeni motoo juu yahilo wanyonge hatuna pakukimbiliya wala kusemeya nyoka anahasila katowa gamba anasum kali anahaha kila kona