Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
- Thread starter
- #21
Makofi mfulululululililizo,bravo mkuu!yeah, mtririko naukubali mpaka mwisho.. Lakini muhudumu aliporudi chumba no. 1, alimchukua m2 kwanza au wa pili akampeleka chumba no. 12! Still muhudumu hakumgusa mtu wa 13 so hakuweza kumpa chumba mtu wa 13, alikuwa anacheza tu na wale wa2 12 na vyumba 12 tu!