mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,376
- 3,892
- Thread starter
- #41
Pole kwa mtoa mada naona ameandika kwa hisia sana
Kimsingi, watu wanaoana ili washirikiane; tatizo huanza pale baadhi ya wanawake wenye kipato kufikiri kuwa hela zao ni zao; wakati Biblia iliweka wazi kuwa mwanamke asiyekuwa na kipato atategemea Mumewe kwa kila kitu sasa hata wale wanawake wanye vipato kwa kutokuelewa hufikiri na wao wamejumuishwa hapo.
MWISHO: huwezi kulinganisha (comparison) kati ya kiungo cha mwili na kitu alicho tengeneza binadamu (papuchi na Pesa?)
Kwani ndugu hakuna wanawake wanawapa pesa wanaume
Ni kwamba tunawafichia siri ila wengi tunajihudumia wenyewe