Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,315
- 159,415
Naomba nikuulize! Unaye mama? Kama unaye kaa naye chini akupe maarifa maana nahisi hayo ni matokeo ya baba kushindwa wajibu wake maana yeye ndio alipaswa kukupa hayo maarifa.Swali ni mwanamke anatoa Nini?