Swali la w/end . . . !!

Heshima kwa babu;

Wadau hebu jaribuni hii kitu "The Construction of Social Reality/ The Social Constructionism" (Luckman & Berger; 1966) ina insights flan ambazo zaweza toa one among the perspectives

Ahsante sana OLESAIDIMU,

Tutakipataje sie tunaoishi vijijini na kucheza na wajukuu??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
majina ni kirahisisho cha kurejea tu mtu fulani,mimi kwa watoto wangu ni mama tough wanalijua jina langu vizuri tu!marafiki zangu napenda waniite jina langu la kwanza lakini mume wangu sipendi aniite jina langu,akitumie pet name yangu ndo naona ni nzuri zaid.ndo mana sina hakika sana na kusema ni sahihi mtu yeyote kukuita jina lako,lakini hii sasa ni tofauti na wale wanaotumia vyeo au elimu zao kwa mfano kujitambulisha ,tena inakera zaidi inapokuwa ni katika mazungumzo.things like,my name is Prof Kibakuli Kimejaa,its too rude!and immature to be frank.

Inakera sana ndugu yangu snowhite,

Napo hajawatajia alivyomaliza PhD yake ya Uchumi au Uhadisi huko Missouri 1971 eti kabla wengi wenu hamjazaliwa!!

Waafrika wengi wamekuwa malimbukeni wa haya mambo. Nashindwa kuelewa kwa nini wanacopy na kupaste kila kitu kutoka kwa walimu wao isipokuwa adamu ya kujitambulisha mbele za watu!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hata Google waeza pata Book Summary Babu

Ngonja nijaribu kamanda wangu Ole wa Saidimu!!

Uzee huu unatufanya tuendelee kutumia baiskeli wakati kuna bajaj!!

Hujawahi kukutana na mtu kabeba mzigo wa kuni kichwani huku kapanda kwenye Fuso??

Babu DC!!
 
Inakera sana ndugu yangu snowhite,

Napo hajawatajia alivyomaliza PhD yake ya Uchumi au Uhadisi huko Missouri 1971 eti kabla wengi wenu hamjazaliwa!!

Waafrika wengi wamekuwa malimbukeni wa haya mambo. Nashindwa kuelewa kwa nini wanacopy na kupaste kila kitu kutoka kwa walimu wao isipokuwa adamu ya kujitambulisha mbele za watu!!!

Babu DC!!

mimi hapo akishaanza tu hivo najua hamna kitu hapa!
 
Ngonja nijaribu kamanda wangu Ole wa Saidimu!!

Uzee huu unatufanya tuendelee kutumia baiskeli wakati kuna bajaj!!

Hujawahi kukutana na mtu kabeba mzigo wa kuni kichwani huku kapanda kwenye Fuso??

Babu DC!!

Ha ha ha babu huachi vituko bana......nakumbuka kuna siku nimemuona mtu kapanda kwenye basi na kuku halafu kampakata tuuuuli kuku wake kamtia kwenye rambo kichwando kipo nje......natamani nimwambie mama kuku si umuweke chini........lakini kila nikimtazama uson sion button ya welcome note...............
 
AshaDii,tatizo langu ni hapo uliposema "lakini mwisho wa siku lazima nimpe mama heshima yake",hii heshima ni nini,pili unampaje?Kwa kumuita mama?Au?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha babu huachi vituko bana......nakumbuka kuna siku nimemuona mtu kapanda kwenye basi na kuku halafu kampakata tuuuuli kuku wake kamtia kwenye rambo kichwando kipo nje......natamani nimwambie mama kuku si umuweke chini........lakini kila nikimtazama uson sion button ya welcome note...............

Jamani msitucheke bwana,

Haya mambo ni mageni kwetu kama ambavyo hawa vijana wa dot com watakuja kuwaogopa jongoo na viwavi kama vile ni chui au fisi wakati sie enzi zetu tulikuwa tunakimbizana na simba na nyati maporini!!

Haya babu.......m retiring ; Salaam kwa bibi na wengine............was good to have time

Much respect
 
Ha ha ha babu huachi vituko bana......nakumbuka kuna siku nimemuona mtu kapanda kwenye basi na kuku halafu kampakata tuuuuli kuku wake kamtia kwenye rambo kichwando kipo nje......natamani nimwambie mama kuku si umuweke chini........lakini kila nikimtazama uson sion button ya welcome note...............

Kakunja sura kama anakamuliwa jipu!!
 
Haya ndo yalisababisha eti wabunge wanajiita mheshimiwa,akiitwa kwa jina lake bila hako ka mheshimiwa anajaa gesi!!

Na ukifanya mchezo kwenye hili, enzi hizo unafikishwa kwenye kamati ya Simpasa (Kinga, maadili na hadhi ya bunge)...!!

Ilikuwa na bado ni hatari sana kutompigia mheshimiwa salute yake!!

Babu DC!!
 
Unajua babu Dark City,unapoona mtu analazimisha aheshimiwe kwa namna ya ajabu hivi ni dalili ya mtu huyu kuwa mtupu ndani yake na hajiamini.Kwanza dhana nzima ya heshima sio kitu halisi,suala la heshima na dharau ni mpaka mtu mwenyewe uamue hivyo ndo utayaona mambo kwa mtazamo huo.Hebu fikiria kwa mfano,nikaandika hapa yanayoitwa matusi na nikiyaelekeza kwako,halafu wewe ukayaona kama ni maandishi mengine tu,wala hutajaa gesi,lakini ukiamua kuyaona kama kuvunjiwa heshima unaweza kupata BP!Kinachotusumbua ni tafsiri tulizolishwa na jamii ikichangiwa na utupu wa kutojipenda tukitaka nafasi hiyo ijazwe na wenzetu,ndo maana tunapopata nafasi katika jamii au kuwa na familia halafu tusipewe "heshima" panakua hapatoshi!!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer, nadhani umeshaelewa ulivyojibiwa. Katika ajira yangu ya pili (wakati huo binti kweli kweli!), nilifanya kazi ofisi yenye utamaduni wa kuitana first names. Bahati yangu mbaya, nilikuwa na one meeting na top management every month. Tulikuwa wanawake 2 (mwenzangu kanizidi kama 15 yrs) na wababa wazee 4. It was awkward kuwaita wazee wa kiswahili Gerald! ila kuita mzungu jina lake sikujali.

Maana nzima, nikikuita kaka eiyer, namaanisha kwangu mimi wewe ni zaidi ya eiyer ambae wanamuona ofisini, bank ama kazini. We go beyond that. So hata kwa mwanangu na wapwa zangu, kwao mimi ni zaidi ya king'asti. Ni kuonyesha msisitizo na uhusiano tu.
 
Last edited by a moderator:
Kakunja sura kama anakamuliwa jipu!!

Tena bila ganzi.......nadhani ile kuwa namuangalia kila mara na yeye akawa kastukia kuwa sijapenda si unajua watu wazima....akaamua kuwa na sura ya........."dare say a word..............................."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom