wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Wakuu poleni na shughuli na mihangaiko za hapa na pale,
Wakuu naombeni msaada wetu wa kitaalam kidogo mimi kidogo hapa nashwindwa.Ni hivi;
Nikichukua ile mota inayofua umeme kwenye zile wire za input nikaunganishia moto ili mota iwake kwenye zile wire za outlet si zitakuwa tayari zinatoa umeme? Hapo hapo zikishatoa umeme nikazizungusha nyuma ya hiyo mota nikaunganishia na zile za input na zile za mwanzo zilizokuwa zinapeleka moto kenye mota nikazitia.
Swali hapo ni je hiyo mota itaendela kuzunguka yaani itaendelea kufua moto na kujizungusha kwa moto huohuo wake?