Mr. Tanganyika
Member
- Nov 13, 2010
- 91
- 7
Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi, alisema Kafulila aliyekuwa akishangiliwa na wabunge wa CCM, CUF na wa NCCR.
Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.
Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.