Swali kwa Wanawake wa JF

yes i do, so help YOU god
Under the penalty of perjury, do you believe that, to the best of your knowledge, experience, and belief, that the comments entered above are true, correct, complete, and made in good faith?
<br />
<br />
 
si subiri kutongozwa..
Nikiona ananivutia namwongelesha..
(inategemea mazingira pia)

sipendi kuuliza maswali..
Bali tutakaa chini tuongee..
na katika maongezi unaingiza (elezea)
nnalotaka kujua .... napenda usawa
akiniuliza swali na mi namgeuzia hilo hilo..

Muhimu kuwe na kinywaji(alcohol)....
...I come to life with an Open Mind, Clean Hands, and a Loving Heart.
..and thats your Swagaaaa.
 
kwanz ntahtaji kujua kama ana mahusiano na m2 na kama wameachana ntahtaji kujua kwanini!na sababu situmii pombe swali langu litakalofata ni kama anatumia kinywaji hata kama nitakuwa nimeanza kumpenda kwa mbali 4 sure atanisamehe bure!na kwa upande wangu swala la dini lina nafasi yake sitaki kumpotezea mkaka wa w2 muda kama c mkristo
 
Good girl...
 
Aisee kuna wale wasiotumia kinywaji ila ni magwiji kwenye mambo yetu yalee!
 
si subiri kutongozwa..
Nikiona ananivutia namwongelesha..
(inategemea mazingira pia)

sipendi kuuliza maswali..
Bali tutakaa chini tuongee..
na katika maongezi unaingiza (elezea)
nnalotaka kujua .... napenda usawa
akiniuliza swali na mi namgeuzia hilo hilo..

Muhimu kuwe na kinywaji(alcohol)....[/QUOTE].....Nina mashaka sana na huo mkakati wako!!..
 
[Samahani, we unaishi wapi na unafanya nini(kazi au mwanafunzi). Maisha yako ya kimapenzi yakoje(kama ana mtu/hana aniambie na kama wameachana ni kwanini), pia ningependa kujua kama unanifahamu au ndo unaniona sasa hivi(pengine labda huwa ananiona ila mi simjui).] Atapata nafasi ya kuulizwa haya maswali endapo hanuki pombe wala sigara!! B'se I never trust pple ambao nakutana nao for the first time, naweza nikampa nafasi ya urafiki(hii ni kwa wale wastaarabu na wasio na papara za ajabu)!! Loh, mi siogopi kuuliza maswali ati hata uje na mkwala wa aje!!!
 
...loud and clear
 
Back
Top Bottom