Maisha ya chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel?

dr nganamba

Member
Sep 27, 2016
34
6
Mimi ni mwanafunzi na ninatarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu,,,,je maisha ya huko chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel? Na nini mbinu nzuri za kutumia boom vizuri bila kuwazia kukopa pale unapoishiwa,,,maana huwa nasikia mpaka wanafunzi hasa wasichana wana diriki hata kujiuza ilimradi mkono uingie kinywani,,,,i need help!
 
Kipaumbele chako ni kipi hasa? Shule ama maisha nje ya elimu? Kwani kufikia umri ulionao wa kukufanya udahiliwe hukuwahi kuji monitor mwenyewe hata kwa level ya nyumbani tu?
 
Maisha yote ni mazuri ila inategemea na wewe ulivyo katika matumizi yako kama ukifata kilichokupeleka utafanikiwa na utaona mambo ni marahisi ila ukienda kuiga utapotea na kuanza kuwaza kufanya mambo ya ajabu kama ni msichana kama mm unaweza ukaanza kujiuza ili ulingane na flani ambacho si kitu kizuri we fata kilichokupeleka na ukapambane coz hiyo ni golden chance ambayo unayo kuna walioitamani ila hawaipata so wewe kasome na usiangalie ugumu wa maisha japo maisha ni magumu kiukweli cha muhimu nikupambana nakufanya familia yako ifurahie elimu yako
 
Asante sana kwa ushauri wako!
 
Panga chumba mdogo wangu. Hii option ina faida nyingi. Nakushauri mimi kwa kuwa maisha yote nimeyaishi wakati nipo chuo. Baadhi ya faida za kupanga ni:

1. Unakuwa mbali na kampani za washkaji ambao wengi wao boom likitoka wanawaza club na starehe nyingine ha hivyo kujikuta na wewe unaungana nao na kuwahi kufulia.

2. Gharama za kujipikia ni nafuu kuliko za chakula cha kununua ukiwa histel especially siku ambazo unakuwa hauna vipindi chuo.

3. Inakusaidia kuwa na asset zako mwenyewe kama tv, mziki, sopha na vitu vingine vidogo dogo ambavyo ukiwa hostel huwez kukaa navyo. Vifaa hivi ukimaliza chuo ukataka kurud home unaweza kuuza na ukapata hela.

4. Unajiandalia mazingira ya kubaki mjini kwa muda unaotaka mara umalizapo chuo ukifanya au kufatulia mambo mengine kama kutafuta kazi,n.k kwa kuwa unakuwa na mahali pa kwako pa kukaa.

5. Inakusaidia kukujengea uwezo wa kujitegemea na kujiamini. Hata ukimaliza chuo ukirudi home unaona unafurahia zaid kuishi peke yako kuliko kuwa nyumbani. Ukumbuke kwa umri wa kumaliza chuo (especially kwa wa kiume) ni umri sahihi wa kuanza kujitegemea na kuhitaji msaada kidogo kutoka kwa familia.

6. Unakuwa na uhuru wa kufanya mambo yako kwa uhuru kama mtu mzima. Kwa mfano kuwa na mwanamke muda wowote unaotaka, kukaribisha marafiki zako (school mates, nk) na ndugu zako na kukaa nao hata siku mbili tatu.

7. Akili yako inakomaa katka kuwaza na kubajet hela ya kodi, umeme, maji n.k hivyo unakuwa na akili iliyokomaa.

8. Mtaani ni rahis kukutana na watu walioko kazini au waliofanikiwa kimaisha na wakakupa mawazo au mbinu za kupata mafanikio au kukupa hata chanel za kazi kuliko hostel ambapo % kubwa ya wanafunzi mnakuwa fresh from school na wengi wanawaza kuingia chuo kula bata tu.

9. Una muda mzuri wa kusoma bila usumbufu/kelele za wanafunzi wenzio.

Ila:
*utakosa msaada wa haraka unalokuwa unasoma ukakwama mahali. Ni mpaka utakapokutana na wenzio chuo wakusaidie maana mtaani haukai na wanafunz wenzio.

Huenda yapo mengine mazuri kwa Hostel lakini pia huenda yapo mazuri mengine ya kupanga! Hii ina maana kupanga ni best option. Mimi imenitoa kisela na baada ta kumaliza chuo nipo hapa mjini na tayari nna mishe. Wenzangu waliokuwa hostel % kubwa wapo vijijini kwao wanalalamika.maisha magumu. Fanya maamuzi
 
Mimi ni mwanafunzi na ninatarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu,,,,je maisha ya huko chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel? Na nini mbinu nzuri za kutumia boom vizuri bila kuwazia kukopa pale unapoishiwa,,,maana huwa nasikia mpaka wanafunzi hasa wasichana wana diriki hata kujiuza ilimradi mkono uingie kinywani,,,,i need help!
Wewe c ni doctor! ! Hukupitia chuo kuupata huo u- doctor? Make naona unajiita dr Nganamba
 
Nimeipenda
 
Namba 2, 3, 4 na 7 ni za ukweli hizo zingine zinaweza kufanyika hata hostel. Ila kupanga kutegemea na maeneo ya chuo kunaweza kuwa tatizo mfano unaweza kupanga eneo ambalo haipiti siku umeme lazima ukate na ukikata kurudi baada ya siku mbili mpaka tatu wakati hostel za chuo zinatumia jenereta la chuo kwa gharama ile ile. Pia kuna ishu za bili kuja ukiwa haupo vizuri maana unaweza kukuta chuo chenu hupewi boom mpaka mfanye mgomo na boom lenyewe linakuja mara mbili semista ina miezi 4 kuna ile miezi ya likizo lazima ujue unatoa wapi pesa ya bili na ya kula.

Ila mleta uzi kuna mchangiaji kauliza kua hujawahi hata kujimonitor?
 
Mimi ni mwanafunzi na ninatarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu,,,,je maisha ya huko chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel? Na nini mbinu nzuri za kutumia boom vizuri bila kuwazia kukopa pale unapoishiwa,,,maana huwa nasikia mpaka wanafunzi hasa wasichana wana diriki hata kujiuza ilimradi mkono uingie kinywani,,,,i need help!
Chuo gan umechaguliwa?
Krb moro twn
Mji wenye vyuo vikuu bora
Plz just see web rank ya top 10 best university in tz 2016
 
Panga chumba mdogo wangu. Hii option ina faida nyingi. Nakushauri mimi kwa kuwa maisha yote nimeyaishi wakati nipo chuo. Baadhi ya faida za kupanga ni:
1. Unakuwa mbali na kampani za washkaji ambao wengi wao boom likitoka wanawaza club na starehe nyingine ha hivyo kujikuta na wewe unaungana nao na kuwahi kufulia.
2. Gharama za kujipikia ni nafuu kuliko za chakula cha kununua ukiwa histel especially siku ambazo unakuwa hauna vipindi chuo.
3. Inakusaidia kuwa na asset zako mwenyewe kama tv, mziki, sopha na vitu vingine vidogo dogo ambavyo ukiwa hostel huwez kukaa navyo. Vifaa hivi ukimaliza chuo ukataka kurud home unaweza kuuza na ukapata hela.
4. Unajiandalia mazingira ya kubaki mjini kwa muda unaotaka mara umalizapo chuo ukifanya au kufatulia mambo mengine kama kutafuta kazi,n.k kwa kuwa unakuwa na mahali pa kwako pa kukaa.
5. Inakusaidia kukujengea uwezo wa kujitegemea na kujiamini. Hata ukimaliza chuo ukirudi home unaona unafurahia zaid kuishi peke yako kuliko kuwa nyumbani. Ukumbuke kwa umri wa kumaliza chuo (especially kwa wa kiume) ni umri sahihi wa kuanza kujitegemea na kuhitaji msaada kidogo kutoka kwa familia.
6. Unakuwa na uhuru wa kufanya mambo yako kwa uhuru kama mtu mzima. Kwa mfano kuwa na mwanamke muda wowote unaotaka, kukaribisha marafiki zako (school mates, nk) na ndugu zako na kukaa nao hata siku mbili tatu.
7. Akili yako inakomaa katka kuwaza na kubajet hela ya kodi, umeme, maji n.k hivyo unakuwa na akili iliyokomaa.
8. Mtaani ni rahis kukutana na watu walioko kazini au waliofanikiwa kimaisha na wakakupa mawazo au mbinu za kupata mafanikio au kukupa hata chanel za kazi kuliko hostel ambapo % kubwa ya wanafunzi mnakuwa fresh from school na wengi wanawaza kuingia chuo kula bata tu.
9. Una muda mzuri wa kusoma bila usumbufu/kelele za wanafunzi wenzio.

Ila:
*utakosa msaada wa haraka unalokuwa unasoma ukakwama mahali. Ni mpaka utakapokutana na wenzio chuo wakusaidie maana mtaani haukai na wanafunz wenzio.

Huenda yapo mengine mazuri kwa Hostel lakini pia huenda yapo mazuri mengine ya kupanga! Hii ina maana kupanga ni best option. Mimi imenitoa kisela na baada ta kumaliza chuo nipo hapa mjini na tayari nna mishe. Wenzangu waliokuwa hostel % kubwa wapo vijijini kwao wanalalamika.maisha magumu. Fanya maamuzi
nimeupenda ushauri wako,, uko njema
ki fikra mkuu
 
Asante kwa ushauri wako!,,,,ni mzur sana!
 
Mie hapa bado nasubiri selection kwanza.
Ww jamaa kweli unashida isee...unaomba ushauri wakati hata chuo hujapangwa isee...kuna chuo na chuo kama ukitaka kupanga isee...maana mazingira pia yanaweza yakakufanya ukaenda kupanga au usipange mambo mengine usihitaji kukurupuka isee...chaguliwa kwanza then tutaweza kukushauri vizuri...mfano mzuri kwa pale UDOM hakuna haja hata ya kupanga labda kama unafamilia unataka kuianzisha maana mazingira ya kusomea kwanza yapo vizuri na swala la makelele huwa hakuna maana madarasa yapo mbali kidogo na hostel..lakini pia mkuu usikimbilie kwenda kupanga wakati hata maisha ya kujitegemea huyajui..mfano kupika ni shida,, kupangilia ratiba ni ngumu na hata swala la kusave money kama ni tatizo ni shida pia....maana utashindwa kulipa kodi mbalimbali kwa wakati..then kukaa chuoni na kujiunga na makundi ya watu wanaoenda club mm naona ni ww mwenyewe na interest zako ukiwa mtu wa kufuata mkumbo utaenda tu hata kama utakuwa unakaa geto...so Jipange kijana
 
Hivi ni mie nimeomba ushauri? Mbona twalazimishana kuqoute post ndefu?
 
Panga chumba mdogo wangu. Hii option ina faida nyingi. Nakushauri mimi kwa kuwa maisha yote nimeyaishi wakati nipo chuo. Baadhi ya faida za kupanga ni:
1. Unakuwa mbali na kampani za washkaji ambao wengi wao boom likitoka wanawaza club na starehe nyingine ha hivyo kujikuta na wewe unaungana nao na kuwahi kufulia.
2. Gharama za kujipikia ni nafuu kuliko za chakula cha kununua ukiwa histel especially siku ambazo unakuwa hauna vipindi chuo.
3. Inakusaidia kuwa na asset zako mwenyewe kama tv, mziki, sopha na vitu vingine vidogo dogo ambavyo ukiwa hostel huwez kukaa navyo. Vifaa hivi ukimaliza chuo ukataka kurud home unaweza kuuza na ukapata hela.
4. Unajiandalia mazingira ya kubaki mjini kwa muda unaotaka mara umalizapo chuo ukifanya au kufatulia mambo mengine kama kutafuta kazi,n.k kwa kuwa unakuwa na mahali pa kwako pa kukaa.
5. Inakusaidia kukujengea uwezo wa kujitegemea na kujiamini. Hata ukimaliza chuo ukirudi home unaona unafurahia zaid kuishi peke yako kuliko kuwa nyumbani. Ukumbuke kwa umri wa kumaliza chuo (especially kwa wa kiume) ni umri sahihi wa kuanza kujitegemea na kuhitaji msaada kidogo kutoka kwa familia.
6. Unakuwa na uhuru wa kufanya mambo yako kwa uhuru kama mtu mzima. Kwa mfano kuwa na mwanamke muda wowote unaotaka, kukaribisha marafiki zako (school mates, nk) na ndugu zako na kukaa nao hata siku mbili tatu.
7. Akili yako inakomaa katka kuwaza na kubajet hela ya kodi, umeme, maji n.k hivyo unakuwa na akili iliyokomaa.
8. Mtaani ni rahis kukutana na watu walioko kazini au waliofanikiwa kimaisha na wakakupa mawazo au mbinu za kupata mafanikio au kukupa hata chanel za kazi kuliko hostel ambapo % kubwa ya wanafunzi mnakuwa fresh from school na wengi wanawaza kuingia chuo kula bata tu.
9. Una muda mzuri wa kusoma bila usumbufu/kelele za wanafunzi wenzio.

Ila:
*utakosa msaada wa haraka unalokuwa unasoma ukakwama mahali. Ni mpaka utakapokutana na wenzio chuo wakusaidie maana mtaani haukai na wanafunz wenzio.

Huenda yapo mengine mazuri kwa Hostel lakini pia huenda yapo mazuri mengine ya kupanga! Hii ina maana kupanga ni best option. Mimi imenitoa kisela na baada ta kumaliza chuo nipo hapa mjini na tayari nna mishe. Wenzangu waliokuwa hostel % kubwa wapo vijijini kwao wanalalamika.maisha magumu. Fanya maamuzi
Bonge la point .... Nice

#Ni mtazamo tuu
 
Back
Top Bottom