Maisha ya chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel?

Jamani nina mdogo angu kamaliza kidato cha nne mwaka 2013 kutokana na matatizo ya afya hakuweza kwenda advance lakin hali yake naona anaelekea vzr lakin anependa kwenda chuo mdogo Wang lakin tumechelewa nacte kufanya application ufaul wake n mzur xn daraja la pili alipata naomba kusaidiwa kama naeza pata chuo coz ya afya hasa dodoma
 
Back
Top Bottom