Swali kuhusu Kuchinja maiti

Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.

Niliwahi kuisikia mahali lakini nikaipotezea....hebu ngoja nijaribu ku google ikiwezekana tumalize huu utata!

Nimeisaka kwenye google sijaiona....kama utaratibu huu upo basi itakuwa ni siri ya kwanza kuwahi kutunzwa na watu wengi kiasi hicho bila watu kuijua.

Islamic Funerals: The Burial

islamic-funerals2.jpg
After prayer, the body of the deceased is taken to the burial (al-Dafin) site. While there may be variations amongst the site and graves, the Islamic directive is restricted to a respectful burial in the ground, with the grave being aligned perpendicular to the Qiblah (i.e. towards Mecca) and it being raised no higher than 12" above ground level. The body is placed directly into the ground, without a casket. Graves markers for Muslims are kept very simplistic and lavish displays are discouraged. Some graves may either remain unmarked or contain a wreath. However, it is becoming more common for family members to erect grave monuments for Islamic funerals.

Only the men are allowed to attend the graveside burial. The body is laid in a manner that allows the head to face Qiblah (Mecca). Each attendee will take a turn in pouring three handfuls of soil into the grave while reciting "We created you from it, and return you into it, and from it we will raise you a second time", Surah 20:55. After this, more prayers will follow asking for forgiveness of the deceased, and reminding the dead of his or her profession of faith. As a final tribute, the Muslims gather and collectively pray for the forgiveness of the dead. This collective prayer is the last formal collective prayer of the Islamic funeral.
 
kwanza SIO KWELI KWAMBA MAITI HUWA ANACHINJWA,isipokuwa kisu au kiwembe huwa kinaagizwa kwa ajili ya kukata sehemu ya sanda (nguo ya maiti) ya upande wa kulia wa shavu la marehemu,sehemu hiyo ya sanda huwa inakatwa ili kuruhusu angalau sehemu ndogo ya mwili wa mwanadam igusane na udongo kutokana na asili ya mwanadamu kuwa udongo,na ile sanda huwa inafunika mwili wote...sio lazima kukata sehemu hiyo ya sanda,hilo linafanyika kama sunna (kitu ambacho sio lazima kufanya ila kina umuhimu na thawabu kwa MUNGU kikifanywa) tu,na pia sio lazima mpaka muwe makaburini ndio mkate,mnaweza kuikata hata mkiwa nyumbani au sehemu yoyote anakoandaliwa maiti kwa ajili ya kuzikwa
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Ufafanuzi mzuri!!!, asante.
 
duh,kama hiyo kitu ipo basi ni siri kubwa maana sijawahi kuisikia...subiri mitusi na dua mbaya.

Muulize au soma habari za mwandishi Salman Rushdie..FATWAH aliyotangaziwa na Hayati Ayatollah Khomein hadi leo iko effective!

Kaa chonjo!
 
kwanza SIO KWELI KWAMBA MAITI HUWA ANACHINJWA,isipokuwa kisu au kiwembe huwa kinaagizwa kwa ajili ya kukata sehemu ya sanda (nguo ya maiti) ya upande wa kulia wa shavu la marehemu,sehemu hiyo ya sanda huwa inakatwa ili kuruhusu angalau sehemu ndogo ya mwili wa mwanadam igusane na udongo kutokana na asili ya mwanadamu kuwa udongo,na ile sanda huwa inafunika mwili wote...sio lazima kukata sehemu hiyo ya sanda,hilo linafanyika kama sunna (kitu ambacho sio lazima kufanya ila kina umuhimu na thawabu kwa MUNGU kikifanywa) tu,na pia sio lazima mpaka muwe makaburini ndio mkate,mnaweza kuikata hata mkiwa nyumbani au sehemu yoyote anakoandaliwa maiti kwa ajili ya kuzikwa

Thanks bro. Nashukuru kwa ufahamu.
 
ukisema waislamu
lazima ufafanue unazungumzia waislamu wa wapi?
kuna waislamu wa marekani,saudia arabia,nigeria,tanzania,indonesia na kote duniani

na hao wote wameathiriwa na tamaduni za nchi au makabila yao

hata hapa Tanzania waislamu wa mombasa na tanga sio sawa na waislamu wa bukoba au rombo moshi
kuna tofauti
tofauti inayosababishwa na makabila
na hivyo baadhi ya mambo kama mazishi huwa zinafuata tamaduni za makabila zaidi kuliko dini

hata wakristo hivyo hivyo
wakristo wa Tanzania mfano karibu wote wana utmaduni wa mahari kwenye ndoa
wakati wakristo wa ulaya na marekani hawana utamaduni huo........
go figure
 
Huo ndio ukweli na waliokuwa na nia ya kutaka kuwagombanisha muulizaji swali na waislamu Mungu awasamehe! Ikumbukwe kuwa aulizae ataka kujua. Ni Juzi tu nimeshiriki kukafini maiti na tulikata sehemu ndogo ya sanda tukiwa mahali tulipomwandalia msikiti Taqwa Mwananyamala. Hivyo kama alivyosema SALITO si lazima iwe makaburini. Cha kufanya tu ni kuweka alama kama pamba ii wakiwa wanazika wapaone na kuitoa pamba hiyo!
 
dah ningekugonga like,sema ndio natumia simu..
 
Huo ndio ukweli na waliokuwa na nia ya kutaka kuwagombanisha muulizaji swali na waislamu Mungu awasamehe! Ikumbukwe kuwa aulizae ataka kujua. Ni Juzi tu nimeshiriki kukafini maiti na tulikata sehemu ndogo ya sanda tukiwa mahali tulipomwandalia msikiti Taqwa Mwananyamala. Hivyo kama alivyosema SALITO si lazima iwe makaburini. Cha kufanya tu ni kuweka alama kama pamba ii wakiwa wanazika wapaone na kuitoa pamba hiyo!

Nashukuru sana mkuu, ilinipa tabu sana kuelewa na kuamini. Nafurahi kujua kuwa hizo za kuchinja ni story za mtaani tu, mmenifungua akili. Kwa walionikebehi Mungu awasamehe
 
Kweli mtoto asiyewahi kwenda nje ya kwao,anajua ni mama yake tu ndiye anayejua kupika!!!kinachonifurahisha hapa ni kuwa mtoa mada anahakika na kufanyika kwa jambo hili,kinachomtatiza ni kwa nini jambo hili lifanyike?!vuta subira maana ukitaka mkate uloiva shurti uvumilie joto la bekari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom