Swali dogo: Hivi Jakaya Kikwete yupo makini kweli?

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Safari za kwenda kwenu baba zimezidi kila siku kwenu tumia akili hii siyo nchi ya starehe'sasa hivi amepita kwenda chalinze kunani chalinze hukuiba kura kwenda chalinze kila weekend hujui matatizo yetu ya umeme,maji,mfumuko wa bei,bei juu ya gesi na mafuta,folen kila kona.wewe kila wiki wachoma mafuta kwenda kwenu unafata nini ww'
 
Mizimu haikufanya kitu maana kukra ziligawanywa na si ushindi wa kishindo kama siku zote! lol
 
anozo nyingi ndio maana anakuongoza, hata hivyo anarudi tena Jamaika kwenye bembea wakati dola inazidi kupanda, mafuta juu, gas ndio usiseme hana muda na watanganga tanga wa nyika, maana wazee wa zanziber watatuacha hivyi karibuni baada ya serikali kuamua mafuta yasiingie kwenye muungano, hupo hapo????
 
Safari za kwenda kwenu baba zimezidi kila siku kwenu tumia akili hii siyo nchi ya starehe'sasa hivi amepita kwenda chalinze kunani chalinze hukuiba kura kwenda chalinze kila weekend hujui matatizo yetu ya umeme,maji,mfumuko wa bei,bei juu ya gesi na mafuta,folen kila kona.wewe kila wiki wachoma mafuta kwenda kwenu unafata nini ww'

akifika Chalinze kijiji cha Msoga kwenye nyumba yake..... anaanza safari nyingine kwenda mahali panaitwa Tunguli.... njia ya kwenda turiani.... huko ndiko kwenye ...yoooote
 
huyu kweli ataweka historia
 
anozo nyingi ndio maana anakuongoza, hata hivyo anarudi tena Jamaika kwenye bembea wakati dola inazidi kupanda, mafuta juu, gas ndio usiseme hana muda na watanganga tanga wa nyika, maana wazee wa zanziber watatuacha hivyi karibuni baada ya serikali kuamua mafuta yasiingie kwenye muungano, hupo hapo????

kweli kabisa inaonyesha hana mapenzi na watanganyika
 
Amepataga wapi hizo akili?

Subiri 2015 wakati anaondoka

sukari 2500 per kilo
petroli 2200 per lita
dola 1 = 2600 za kitanzania

ndiyo utajua kama alikuwa rais bora au fisadi wa kihistoria
 
majita swali lako limekaa ki bandidu ile mbaya
mchizi wangu jk yuko poa ila tu naona huwa sometime yes sometime no
 
ana matatizo ya kisaikolojia, akili anazo lakini si nyingi za kutosha kua rais. Hajui kufikiri vizuri na hawezi kufanya maamuzi makubwa kwa kifupi ni coward.
 
majita swali lako limekaa ki bandidu ile mbaya
mchizi wangu jk yuko poa ila tu naona huwa sometime yes sometime no

mkuu.... hizo speeches zako zimekaa kama za salama wa bongo star search..... samahani lakini
 
angekuwa na akili kusingekuwa richmond,dowans,mgao wa umeme,gesi kupanda,folen,mfumuko wa bei
 
mkuu.... hizo speeches zako zimekaa kama za salama wa bongo star search..... samahani lakini

brigedia lat eeh unajua nini umeharibu ulivo omba samahani
lakini haina shobo much respect to ya!
 
Back
Top Bottom