Swali dogo: Hivi Jakaya Kikwete yupo makini kweli?

maswali mengine bwana. JK akili anazo sidhani kama kuna mtu hana akili sembuse mkuu wa nchi?????????? Acheni utani bwana leteni hoja za msingi na zenye tija kwa maendeleo ya taifa.
 
[FONT=Palatino Linotype, serif]Ndugu Zangu, Watanzania Wenzangu;[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Naomba kurudia kukumbusha kuwa uchaguzi ulishaisha Oktoba 31, 2010 na malumbano ya kampeni za uchaguzi yalimalizika wakati ule. Sasa ni wakati wa kuendelea kufanya shughuli zetu za kawaida za kujiletea maendeleo yetu wenyewe na ya nchi yetu. Kuendeleza malumbano na kuendelea kuishi kama vile kampeni za uchaguzi bado zinaendelea siyo sahihi hata kidogo. [/FONT]

[FONT=Palatino Linotype, serif]Najua wapo baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa ambavyo vimepanga mikakati ya kuendeleza malumbano ya uchaguzi na kutaka Watanzania waishi kama vile nchi ipo kwenye kampeni za uchaguzi.[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Wamepanga wakati wote kutafuta jambo au hata kuzua jambo ili kuwachochea wananchi waichukie Serikali.
Huyu jamaa ana akili na ni makini sana kila mtu ana kwao na ana ndugu sasa asiende kwao? jamani kipindi cha kumdharau ni lini kitakwisha ? kwani kwa sasa yeye ndiye Rais tutake tusitake tusubiri 2015 kwani keshakubali KATIBA mpya

[/FONT]
 
angekuwa na akili kusingekuwa richmond,dowans,mgao wa umeme,gesi kupanda,folen,mfumuko wa bei
mkapa tu ndo alikuwa na akili kwa kutuletea radar ndege ya rais ndege yappza jeshi magari ya jeshi, meremeta tangold mwananchi, kiwira epa bot kuuza NBC tanesco mikataba mingi ya madini na mengineyo mengi!
 
Ah! Jamani eh!swali mbona ni rahisi tu!akili anazo we huoni amempiga gepu Laurent Gbagbo kuchakachua?mwenzie kastukiwa mpaka na walioko ughaibuni yeye hata kenya hawajui kama sio kichwa nani huyo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom