Swali chochezi: Nani alipaswa kutoa taarifa za nyufa za JPM Hostels?

Inategemea taarifa alizitoa kwa nani, angewambia uongozi wa chuo sidhani kama angeingia matatani lakini kwa jinsi alivoposti kama alikua anakosoa ama kuchochea, ingekua vizuri angepeleka taarifa izo kwenye uongozi wa chuo kuliko facebook

Nakubaliana na wewe dogo ni mchochezi, na amechochea jengo la ghorofa.
 
Expansion joints
93e4040456ccc6634be3f6b10a521ed1.jpg
Ni hali ya kawaida kwa jengo kupumua acheni siasa zinarudisha maendeleo yetu nyuma mimi ni msema kweli maana msema kweli ni mpenzi wa mungu na nitasema ukweli daima fitina kwangu mwiko kidumu chama chamapinduzi mbona mnanuna ebow itikieni kidumu chama tawala !!
 
Expansion joints
93e4040456ccc6634be3f6b10a521ed1.jpg


:D ....yeeees, hii kweli ni midomo tu ya kupumulia a. k. a "expansion joints" kulaleki.. :D:D:D

Na mimi nawataka TBA waje wanijengee "hostels" zangu za kulaza wake zangu waweke midomo ya kupumulia kama hii a. k. a "expansion joints!!!"...kudadeki
 
Nani hasa alipaswa kutoa taarifa na kutuma picha za expansion joints kwa wanachuo na wananchi kwa ujumla?

Mtu yeyote mwenye uwezo wa kuona..........

Hasa kama anaeweza kuona Mbali, itapendeza zaidi..........
Kwamaana ya kwamba aweze kuona akiwa mbali ili hayo maghorofa yasimwangukie..........
 
Menaja wa hostel anakanusha Expansion joint km kashikiwa mtutu.
 
Hili lilitakiwa lionekane kwenye ziara ya ghafla ya Waziri,dogo kaharibu
 
Ni sawa kabisa. Lakini amesukumwa zaidi na political influence. Mbona wanapokosa mikopo,wanaposhindwana na wakufunzi huwa wanajua kwa kwenda? Sema walikuwa na hofu ya usalama wao,kwa nini hawakugoma ku habitate hayo majengo? Sipendi kumhukumu ila najaribu kutenganisha siasa na jamii. Hatuwezi kutoa kila taarifa tunavyojisikia, ndiyo maana huwa kuna wasemaji rasmi wanaotoa taarifa rasmi. Otherwise kila mtu akisema kila analoliona dunia haitakalika.
Msemaji hakuziona zile nyufa kasaidiwa@viwonder
 
Inategemea taarifa alizitoa kwa nani, angewambia uongozi wa chuo sidhani kama angeingia matatani lakini kwa jinsi alivoposti kama alikua anakosoa ama kuchochea, ingekua vizuri angepeleka taarifa izo kwenye uongozi wa chuo kuliko facebook
Halifichiki eeeeehalifichikii!.....….......

Waliogopa kupimwa mkojo
 
Back
Top Bottom