Swala la Dr Ulimboka Si Dogo, Litaitikisa Sana Serikali

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Swala la Dr Ulimboka si dogo linaweza kuangusha serikali. Hali ya nchi itakavyokuwa kesho baada ya revelation ya Mchungaji Gwajima si ya kawaida. Lets wait and see
 
The bomb is ready to explode, only a detonator.
 
Swala la Dr Ulimboka si dogo linaweza kuangusha serikali. Hali ya nchi itakavyokuwa kesho baada ya revelation ya Mchungaji Gwajima si ya kawaida. Lets wait and see
Hebu fafanua mkuu,
revelation gani?
nyama kidogo!
 
Back
Top Bottom