mwananyiha
JF-Expert Member
- Mar 11, 2008
- 248
- 43
Mtoa mada mimi naanza kukuelewa kwa sababu vitu vingi tunafundiswa kuamini hivyo lakini ukifanya utafiti wa kina unakuta sio kweli.Mfano ni jinsi ambavyo tumefundishwa kwamba Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka 1961, inakuwa ni vigumu sana mtu kumshawishi vinginevyo.Mtu leo hii ukimwambia kuwa uhuru ulipatikana mwaka 1962 atabisha kiasi cha kuwa tayari hata kumeza kaa la moto lakini ukweli ndio huo.