Swahili didnt borrow from other languages

Mtoa mada mimi naanza kukuelewa kwa sababu vitu vingi tunafundiswa kuamini hivyo lakini ukifanya utafiti wa kina unakuta sio kweli.Mfano ni jinsi ambavyo tumefundishwa kwamba Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka 1961, inakuwa ni vigumu sana mtu kumshawishi vinginevyo.Mtu leo hii ukimwambia kuwa uhuru ulipatikana mwaka 1962 atabisha kiasi cha kuwa tayari hata kumeza kaa la moto lakini ukweli ndio huo.
 
Yaani nishaitwa mvuta Bangi,kweli jamaa wako gizani

Halafu tena nikama hamnielewi,wacha nijaribu tena

kama mama ya lugha nyingi duniani inaongelewa afrika mashariki mpaka leo
itakuwaje kiswahili kimekopa na hali kiswahili kimeanza hapo hapo afrika mashariki.

hii inaamaniasha kiswahili hakikukopa bali lugha zingine ndizo zimekopa katika kiswahili,sijui tunaelewana hapa

ama kuna watu hapa wanaona sababu kiswahili kina kama lugha za kigeni wanajiona wao ni kama wameendelea sana kama vile ndigu zao ni wareno ama wejerumani na wahindi.upuzi

lazima ujue utakako na historia yako uijue,usifunzwe mambo ya kukudhalilisha hivi ukifikiri uko sawa na hao wazungu,jua wageni hao wako chini yako,sisi ndo tumewafunza lugha na technolojia,tukitengeza pyramid na kuaandika sheria wao walikuwa bado wanaishi kwenye pango.

eti mwingine anasema tulikuwa hatujui gereza,upuzi gani hiyo.

hemu nenda nchi kama fiji mpaka china utakuta watu weusi,ukipata wazee wao na ukiwauliza mbona ni weusi ,watakwambia babu zao walitoka tanganyika,

ikiwa waliweza kusafiri kwenda mpaka china wakati huo miaka maelfu,china wakati huo wanapiga mswaki na brush na washavumbua karatasi ya kuandika na wanafanya biashara afrika kabla hata ya mzungu kujua ramani ni nini.

to be continued

punguza jazba .. vaa shati.. ehh! endelea.. ila nina swali moja sorce ya hizi info. imeitoa wapi.. au ni maoni yako binafsi..?!
 
Kwanza, hakuna lugha yoyote ile hapa duniani inayotambulika kama Swahili,

Pili, hakuna lugha yoyote ile hapa duniani ambayo haiku-tohoa maneno kutoka katika lugha nyinginezo..
 
punguza jazba .. vaa shati.. ehh! endelea.. ila nina swali moja sorce ya hizi info. imeitoa wapi.. au ni maoni yako binafsi..?!

Bana ehh,source niufanye utafiti wewe mwenyewe.pia soma vitabu vilivyondikwa na waafrika,je unajua any of the afrikan scientist wale wapo hapa afrika,unamjua Cheikh Anta Diop? nina hakika unajua kina albert einstein sijui newton na wale wajinga wote,lakin humjui diop.

sasa hapo wewe jijibu

Na hiyo icon yangu ya mishumaa saba unajua ina maana gani
 
Bana ehh,source niufanye utafiti wewe mwenyewe.pia soma vitabu vilivyondikwa na waafrika,je unajua any of the afrikan scientist wale wapo hapa afrika,unamjua Cheikh Anta Diop? nina hakika unajua kina albert einstein sijui newton na wale wajinga wote,lakin humjui diop.

sasa hapo wewe jijibu

Na hiyo icon yangu ya mishumaa saba unajua ina maana gani

punguza ukali ndugu yangu ...

alafu umekosea uliposema Albert einstein & newton ni wajinga!! bro wale ndio ma genious wenyewe , akifuatiwa na mtu aliyefanya revolution in medical world Doctor of the doctors Ibn Sina (Avicenna) hao ndio ninaowaona watu muhimu kwangu! btw tell me who is this dude cheikh anta diop..?! and yeh sijui maana ya mishumaa hiyo saba kwenye profile yako tell me more about it...
 
...

alafu umekosea uliposema Albert einstein & newton ni wajinga!! bro wale ndio ma genious wenyewe , akifuatiwa na mtu aliyefanya revolution in medical world Doctor of the doctors Ibn Sina (Avicenna) hao ndio ninaowaona watu muhimu kwangu!

Kama unamjua Ali Ibn sina,basi ina maana unamjua Al kindus.

nawaita wajinga maanake wao walikuwa wanakopi utafiti uliyofanywa kabla yao nakuzifanya zao.mfano albert einstein alikopi kazi za al kindus.

Al-Kindi was very much advanced of his time, classical mechanists such Galileo, Descartes and Isaac Newton considered time, space and motion to be absolute, while al-Kindi suggest that all these properties are relative to each other and not independent or absolute. This can be considered as early concept of Theory of Relativity


btw tell me who is this dude cheikh anta diop..?! and yeh sijui maana ya mishumaa hiyo saba kwenye profile yako tell me more about it

Huyu sio dude,but he is a master,a thinker,and a great teacher.

Diop aliweza ku proof mbele ya dunia nzima that egypt was pure black during the time of building pyramids,na ma pharaoh wote walikuwa ni watu weusi.
kumaanisha sisi ndio tumewafunza engineering and science,sio kama tunavdagnywa kila siku eti wao wazungu wameanza mambo ya technologia.

utafiti wake mpaka leo ndio unatumiwa katika mambo ya forensic.
hebu google huyu jamaa na usome habari yake.

mishumaa saba maanake

Umoja (Unity): To strive for and to maintain unity in the family, community, nation, and race.
Kujichagulia (Self-Determination): To define ourselves, name ourselves, create for ourselves, and speak for ourselves.
Ujima (Collective Work and Responsibility): To build and maintain our community together and make our brothers' and sisters' problems our problems, and to solve them together.
Ujamaa (Cooperative Economics): To build and maintain our own stores, shops, and other businesses and to profit from them together.
Nia (Purpose): To make our collective vocation the building and developing of our community in order to restore our people to their traditional greatness.
Kuumba (Creativity): To do always as much as we can, in the way we can, in order to leave our community more beautiful and beneficial than we inherited it.
Imani (Faith): To believe with all our heart in our people, our parents, our teachers, our leaders, and the righteousness and victory of our struggle.

Marekani maulana karanga mwaka wa 1966 alianza kufunza kiswahili to the black americans

nakuanzisha sherehe inayoitwa kwanza ili waafrika wawe na sherehe yao december,kusudi wawache kusheherekea krismasi ambayo ni mambo ya kishetani na si ukristo

Kwanza imekubalika marekani na hata serikali ya marekani wanazo stamp wanauza kusheherekea kwanza.ili uwe member lazima ujifunze kiswahili.hii imefanya black americans wengi sana kujifunza kiswahili na kusoma historia yao.

na hapo ndipo mishumaa saba inapotokea

fanya utafiti
 
nakuanzisha sherehe inayoitwa kwanza ili waafrika wawe na sherehe yao december,kusudi wawache kusheherekea krismasi ambayo ni mambo ya kishetani na si ukristo

Sikukuelewa hapo, ushetani ni wapi katika kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu ?
 
Also, what about maneno kama "kuripoti", "tiketi", "hela", etc. ? Unaamini maneno haya pia yana asili ya kiafrika ? I appreciate the fact that you want Africans to know their history better, but like many have said, lugha zote duniani zimekopa maneno toka lugha nyingine na kuyatohoa, ni lazima lugha ifanye hivi ili ikue. And Swahili is not exception to this rule.
 
shukran sasa nimemjuwa huyo Diop... so your point is .. kiswahili hakijatohoa maneno toka lugha nyingine.. naomba unipe jina la kitabu ulichosoma kuhusu historia ya kiswahili... iam afraid nikianza utafiti wangu i might read wrongs books!..
 
Sikukuelewa hapo, ushetani ni wapi katika kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu ?

Pengine wewe na wengine wa chache ndio bado fikra zenu duni,kuamini eti yesu kazaliwa december mambo ya unafik(ancient pagan religion).ushetani kwa sababu,mfano mzuri.hivi hii pasaka watu wako kanisani wanakunya damu ya yesu na kula nyama ya maiti yake,sii nda pasaka hiyo.drinkn the blood of jesus n eating his body.sasa wewe niambie ,sii ushetani huo. Nikipata muda nitaandika kwa kirefu.
 
Pengine wewe na wengine wa chache ndio bado fikra zenu duni,kuamini eti yesu kazaliwa december mambo ya unafik(ancient pagan religion).ushetani kwa sababu,mfano mzuri.hivi hii pasaka watu wako kanisani wanakunya damu ya yesu na kula nyama ya maiti yake,sii nda pasaka hiyo.drinkn the blood of jesus n eating his body.sasa wewe niambie ,sii ushetani huo. Nikipata muda nitaandika kwa kirefu.

Najua hakuna mwenye uhakika kuwa Yesu alizaliwa katika mwezi wa december. Kwa kweli, kuna watu wanaosherehekea Krismasi katika mwezi wa May. Pia, ni kweli kuwa, wakati wa zama za kale, sherehe ya kipagani yengine ilisherehekewa kwenye December, lakini Biblia yasema kuwa wapagani wengi waliposikia Injili, waliacha upagani na hata kuchoma vitabu vya uchawi vyao. Halafu walibadilisha dini yao na hiyo ndiyo maana sasa sherehe za ukristo yanaadhimishwa kwenye tarehe sherehe za kipagani ziliposherehekewa kabla ya wao kubadilisha dini zao.

Na kuhusu wakristo kunywa na kula damu na maiti ya Yesu, nadhani unapaswa kusoma aya 26:26-28 ya Injili ya Mathayo. Hivi sio ushetani, wakristo wanafuata kilichoandikwa kwenye Biblia tu.
 
Haya ni mawazo mazuri sana, hasa kwa sababu inatetea Uafrika na lugha yetu ya Afrika, lakini mada ingelikuwa na mashiko zaidi kama ingekuwa zao la utafiti wa kina na wa kisayansi kulikoni mawazo binafsi. Hii sio kusema siheshimu mawazo binafsi, hasa kama hili, lakini kwa kutumia utafiti kungewafanya au kungetufanya wengi kukosa hoja za kupinga mawazo yako.

Kwa uelewa wangu kwenye mambo ya lugha na hasa ya Kiswahili, ni kuwa lugha zote kuu ulimwenguni zimepanda daraja baada ya kukopa/kutohoa kutoka lugha nyengine. Neno kutohoa ni zuri zaidi kwani kilugha neno lililotoholewa "hubakia kuwa ni mali ya lugha iliyotohoa", na ndio maana maneno "baiskeli, gari, hospitali, kompyuta n.k" ni Kiswahili safi na wala sio Kiingereza wanaoita "bicycle, car, hospital, computer". Kwa mifano hiyoo, kuniambia kuwa maneno hayo hayakutoka katika lugha nyengine, inaweza kufanya nisiamini ninachokisikia.

Kwa ufupi, Kiswahili kilitohoa, kinatohoa na kitaendelea kutohoa maneno ya kigeni kutokana na kukua kwake na kukifanyakuwa cha kimataifa zaidi. Hata hivyo kama Mwafrika Mswahili na mpenda Kiswahili, ningependa kuona hii hoja inakuja kwa njia ya utafiti.
 
Poleni kwa kuchukua muda kujibu,wakati mwingi najibu nikiwa kazini lakini bado niko off mpaka wiki ijayo,kwa sababu ya zile sherehe za pasaka

Ila cha muhimu hapa ni tusindaganyike na mambo ya kutudhalilisha.nilipokuja hapa mara ya kwanza nilisoma uzi nyingi watu wakifanisha kiswahili na lugha za kigeni na zilikaa ni kama kiswahili kinakopi na kama vile wanazisifu lugha za kigeni kwa uchangiaji kwa kiswahili, ambapo ni upuzi.ukweli ni kiswahili kimechangia katika lugha nyingi za kigeni.

namba zifuatazo ni mojawapo ya lugha zinazongelwa afrika mashariki tangu jadi, na ndo mojawapo ya lugha za mwanzo katika dunia kabla chochote kile,angalia halafu wewe unijibu nani kakopa.
kitabu ndakiandika mimi :smile-big: ingawa vitabu vingine vipo.

English Numeric Symbol Written Out Pronunciation
1 ፩ አንድ And

2 ፪ ሁለት Hulätt

3 ፫ ሦስት Sost

4 ፬ አራት Aratt

5 ፭ አምስት Ammïst

6 ፮ ሲድስት Sïddist

7 ፯ ሳባት Säbatt

8 ፰ ሲምንት Sïmmint

9 ፱ ዛጣኝ Zätäñ

10 ፲ ዐሥር Assir

20 ፳ ሃያ Haya

30 ፴ ሠላሳ Sälasa

40 ፵ አርባ Arba

50 ፶ አምሳ / ኃምሳ Amsa / Hamsa

60 ፷ ሲልሳ / ሲድሳ Sïlsa or Sïdsa

70 ፸ ሰባ Säba

80 ፹ ሰማንያ Sämanya

90 ፺ ዘጠና Zätäna

100 ፻ መቶ Mäto

1,000 -* ሲህ / ሲ Sih / Si

zile nambo zisizo bantu kiswahili kimetoa hapo,si kwa ki uajemi kiarabu au kihindi,bali katika majawapo ya lugha za kiafrica.ki greek pia kimekopi hapo ndo maana nabisha wazungu wamekopi kiswahili maana ki greek ndio mama ya lugha za wazungu.
 
Poleni kwa kuchukua muda kujibu,wakati mwingi najibu nikiwa kazini lakini bado niko off mpaka wiki ijayo,kwa sababu ya zile sherehe za pasaka

Ila cha muhimu hapa ni tusindaganyike na mambo ya kutudhalilisha.nilipokuja hapa mara ya kwanza nilisoma uzi nyingi watu wakifanisha kiswahili na lugha za kigeni na zilikaa ni kama kiswahili kinakopi na kama vile wanazisifu lugha za kigeni kwa uchangiaji kwa kiswahili, ambapo ni upuzi.ukweli ni kiswahili kimechangia katika lugha nyingi za kigeni.

namba zifuatazo ni mojawapo ya lugha zinazongelwa afrika mashariki tangu jadi, na ndo mojawapo ya lugha za mwanzo katika dunia kabla chochote kile,angalia halafu wewe unijibu nani kakopa.
kitabu ndakiandika mimi :smile-big: ingawa vitabu vingine vipo.

English Numeric Symbol Written Out Pronunciation
1 ፩ አንድ And

2 ፪ ሁለት Hulätt

3 ፫ ሦስት Sost

4 ፬ አራት Aratt

5 ፭ አምስት Ammïst

6 ፮ ሲድስት Sïddist

7 ፯ ሳባት Säbatt

8 ፰ ሲምንት Sïmmint

9 ፱ ዛጣኝ Zätäñ

10 ፲ ዐሥር Assir

20 ፳ ሃያ Haya

30 ፴ ሠላሳ Sälasa

40 ፵ አርባ Arba

50 ፶ አምሳ / ኃምሳ Amsa / Hamsa

60 ፷ ሲልሳ / ሲድሳ Sïlsa or Sïdsa

70 ፸ ሰባ Säba

80 ፹ ሰማንያ Sämanya

90 ፺ ዘጠና Zätäna

100 ፻ መቶ Mäto

1,000 -* ሲህ / ሲ Sih / Si

zile nambo zisizo bantu kiswahili kimetoa hapo,si kwa ki uajemi kiarabu au kihindi,bali katika majawapo ya lugha za kiafrica.ki greek pia kimekopi hapo ndo maana nabisha wazungu wamekopi kiswahili maana ki greek ndio mama ya lugha za wazungu.
Halafu nikisema unakula msuba (unavuta bangi) unasema eti mimi ndio sielewi kitu. Haya, sawa Mkuu. Endelea kutujuza kwa kupitia hizo nguzo sabaa!
 
Halafu nikisema unakula msuba (unavuta bangi) unasema eti mimi ndio sielewi kitu. Haya, sawa Mkuu. Endelea kutujuza kwa kupitia hizo nguzo sabaa!

Mmmh bana e, kuna mambo mengine inataka vichwa vizito , uerevu wa hali ya juu na hekima.na ukiyataja mambo hayo kwa watu wasio na hiyo hikma basi matokea ndo hayo,utaitwa mvuta bangi,wazimu wa kichaa na mambo mengine.sasa, do me a favour nenda kwenye jukwaa la mapenzi ama gossip forum kama lipo wenzako wako huko.hapa huwezi
 
Amir, kwanza lazima tutambue kwamba kila lugha inakua kutokana na mabadiliko na mahitaji ya jamii husika na watu wengine wanaowasiliana nao nje ya jamii yao.kutokana na mawasiliano ya ndani ya jamii inayotumia lugha husika mara nyingi maneno yanayotumika katika lugha husika ni yale yanayoendana na utamaduni wa jamii husika, na inapotokea kuwa kuna mawasiliano na watu wengine wanaokuwa na utamaduni tofauti na jamii ile ya awali ni rahisi lugha ya awali kupokea maneno mapya ambayo hayakuwepo awali, pia tutambue kuwa mabadiliko ya sayansi na teknolojia ambayo asili yake sio katika lugha yetu huchangia lugha yetu kutohoa maneno ili kukidhi mahitaji ya mawasiliano, mfano maneno kama METALI, SI METALI(metal, non metal),kifupi si sahihi kusema kiswahili hakijatohoa maneno kutoka katika lugha nyinginezo, na wala kutohoa maneno si udhaifu wa lugha bali ni jambo la kawaida kabisa na lisilokwepeka zaidi pale zaidi ya lugha moja zinakutana katika mawasiliano.hakuna lugha iliyojitosheleza asilimia miamoja,isipokuwa tu kama imekuwa "confined" katika mazingira ya jamii yake ya asili na watumiaji wake wa asili hiyo tu!!
 
Check your history, acha ushabiki.[/QUOTE]
ofcoz kuna haja kubwa kwa walimu wa history na wa lg kuwa makini mno ili vijana wetu wawe na upeo mkubwa wa kuhoji v2 concern. ASILI YA lg ya kiswahili ni lugha za kibantu. kabla ya waarabu hakukua na kiswahili bali ni lg za wabantu (vernacular languages) ingawa zilikua zinafanana sana kimsamiati.baada ya waarab kukuta lg za kibantu zinafanana ndo wao wakaita SUAHEL-SAWAHILI-SWAHILI(zenye kufanana) so hata asili ya neno swahili ni kiarabu . wakubwa chimbueni historia ya lg ushabiki pembeni! na sifa kubw ya lg ni kukopa maneno kutoka lg nyingine hicho hakikwepeki, si kiswahil tu bali lg zote diniani hukopa kutoka lg nyingine .
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom