Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
5,052
12,868
Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat ni boat ndogo iliyotengenezwa na kampuni ya Suzuki kwa ajili ya kazi za utalii,michezo ya uvuvi na familia kufurahia mazingira ya bahari au weekend. Boti hii inatumika kwenye mabwawa ya samaki kwa ajili kukagulia,kuvua na kwenye maeneo yenye mafuriko.

Boat hii unaweza ukaikunja na kuisafirisha kwa usafiri wowote haiitaji trailer ya kuvuta. Sakafu yake imeundwa kwa aluminum na pembeni kuna tube ngumu ya kujaza upepo.

4EB6835B-5D91-40AC-9D27-2D3FB3EB1FAD.jpeg
0BA9C704-74D0-4612-A270-5440FB496817.jpeg
74DB8B5E-1DB4-4462-BA20-EA1E6016F1C2.jpeg


Specifications za Suzumar 290 Boat
Urefu: 2.9m
Urefu wa ndani: 1.83m
Upana: 1.54m
Tube diameter: 0.38m
Uzito wa boti: 46.6kg
Uwezo wa kubeba watu: watu 4
Uwezo wa uzito inaobeba: 500k
Material ya sakafu: Aluminium
Nguvu ya engine: 2.5hp Suzuki
Upepo unatakiwa kujaza tube/mgongo wa boti: 0.25/0.35bars


Specifications za Engine ya Suzuki DF2.5S iliyofungwa kwenye boat.
Aina ya mapigo: 4-stroke
Uzito wa engine: 13kg
Mpangilio wa gear: Foward na Neutral
Aina ya upoozaji: Water Cooling
Uwezo wa Tanki ya mafuta: 1 lita
Mafuta: Petrol
Oil: inachukua 0.3lita
Uwashaji: Kuvuta kick kwa mkono (manual start)
Usukani: wa kuendesha na mkono (Tiller Arm)
Ujazo wa Engine: 68cc
Maximum RPM: 5250 mpaka 5750
Turning(uwezo wa kugeuka): 360 degree

Engine hii ni nyepesi na rahisi kuibeba kwa ajili ya kuitunza sehemu salama au kuhifadhi ndani.

Boti inakuja na box ya first aid,pampu ya mkono na life jacket.

Boti hizi zimetengenezwa nchini South Africa unapata ikiwa mpya kwa gharama ya kuanzia 6.5million.
Gharama ni mpaka boti inakufikia ulipo.
Contact 0655361223
Tunapatikana Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom