dah kweli hapa kazi ipo haya yote yametoka wapi tena?
When you are commenting try to be neutral jamii itakuelewa zaidi. Usiwe biased wewe unategemea serekali ya Sudan itamlaumu nani? Hata kipindi cha harakati za SPLA kupinga forced islamization story zilikuwa hizo hizo, weka dini na chuki binafsi pembeni jadili mada acha idea za jino kwa jino
Unahitaji kuwalelewa wamarikani vizuri hata kama bado unasubiri kupata Greencard, waafrika walishawajua ninani adui wao anae-sponser vita africa, we bakia hapohapo ushangaeshangae!! usubiri kujifunza kila kitu hapa jf, jaribu kutumia ubongo kama unao!