Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
upaja unauonaje huo mama?Kazi kweli kweli
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI JAMANI..............!
upaja unauonaje huo mama?Kazi kweli kweli
huo ni mtazamo wako, kama uko bomba angefunika kidogo basi usimezewe mate na the whole world.upaja unauonaje huo mama?
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI JAMANI..............!
halafu na MTINDI ULE!LOL jamaaaanihuo ni mtazamo wako, kama uko bomba angefunika kidogo basi usimezewe mate na the whole world.
Asije kuwa anakukumbusha enzi za STELLA RWEZAURA aka TINGISHA.
Mie nilidhani sifa ya umodo ni kuwa potabo/mwembamba.sasa huyu fidel inakuwaje tena huu mwili?
Usije ukaomba Jimama kama hilo litokwe na ushuzi mkiwa chumbani anakihanikiza chumba chote kwa harufu .
preta!!!!! hilo dude la ukweli, mi nalifagi mbayaaa!!! mwanamke shepu babu eeeee!!!