Super Model of Tanzania

upaja unauonaje huo mama?
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI JAMANI..............!


Hapo upaja kauweka wanaita stokini sijui je angeuachia live si angekumaliza kabisa?
 
nguo za wanaume zionyeshwe na mamodo wa kime,
nguo za watu wembamba zionyeshwe na wembamba,
nguo za matipwa tipwa zionyeshwe na matipwatipwa.
Fide kaza buti mama, kula sana mafutamafuta ili hilo nyendi ulilonalo liongezeke maradufu.
 
Not bad at all. Kama alivyosema Madamex beauty comes in all sizes, very, very, very true. Wengine wapenda wanene, wengine wapenda wambemba, wengine warefu, wengine wafupi etc, etc.
Kila mtu na chaguo lake

Merry Xmas and Happy New Year!!!!!
 
Asije kuwa anakukumbusha enzi za STELLA RWEZAURA aka TINGISHA.

Huyu alitingisha kweli kweli enzi zake!!! Alipopukutika mwili ukabaki mifupa, binadamu hakuamini. Kilikuwa ni kilio Sinza nzima na kwa wanaume wote waliomtembelea. R.I.P Tingisha.
 
Miaka mitano hadi saba hivi iliyopita Fide alikuwa na mwili wa ki-model haswa. halafu nadhani akajiachia na machipsi na makuku....!
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! Not my type now!!!!!!!!!!!!!! May be before!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 


Super model of Tanzania Fideline Iranga (in black) you rock babe!

jamani ukiwa na mwili wenye ukubwa fulani; haipendezi tena kuachia maeneo wazi. kwa kweli hapendezi kuangalia tena. angejihifadhi angekuwa super model wa aina yake but like this mwe!hapana halipi!
 


Super model of Tanzania Fideline Iranga (in black) you rock babe!

We Preta unapenda "bania" sana!. hapa sina shaka ni "made in China" na hiyo mispot na michirizi ni mvuto wa aina yake kichuichui. "saba tamu" ya mwito lakini hata akikaa vibaya, jicho haliwezi kufika kunako enzi ya ufalme wake uliomfanya awike zamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom