Super Model of Tanzania

pape.....rangi nyeusi wataalamu wanasema inmfanya mtu mnene aonekana mwembamba zaidi na kuzifanya nyma ziloregea regea kuonekana kukazana.

labda anafuata hilo
 
Mmh wengine hudai vidonge vya ..........hunenepesha kama puto!,huo mwili inabidi aende kwa Mustapha Hassanali kupata ushauri wa bwerereeee
 


Super model of Tanzania Fideline Iranga (in black) you rock babe!
aiseeeee.....huyu kanywa pipa la ndimu......kupungua
attachment.php
 
Huyu alitingisha kweli kweli enzi zake!!! Alipopukutika mwili ukabaki mifupa, binadamu hakuamini. Kilikuwa ni kilio Sinza nzima na kwa wanaume wote waliomtembelea. R.I.P Tingisha.

Maneno yako mbona yana kama kaukweli? Kumfananisha Fidelin Iranga na Stella Rwezaulla!
 
Ha ha ha!Mgeipa jina lingine tu badal ya kuhamisha kutoka kwa hao wazungu, maybe "bantu model" or something, lakini "super model"?mhn!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom