Sungusungu wa ccm waua mtuhumiwa wa wizi wa kuku.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
kulingana na kituo cha ITV taarifa ya habari jioni hii,tukio hili limetokea huko mkoani tabora na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani humo,ambapo marehemu amefahamika kwa jina la Mipawa samwel (RIP)
 
Sijakuelewa vyema mkuu,unamaanisha SUNGUSUNGU ama POLISI maana sio wote tumesikiliza ama kuiona habari hiyo
 
Back
Top Bottom