Sumaye: Ukitumia kalamu kuingia Ikulu, utatumia risasi kung'ang'ania huko

Si wewe tu, lakini kwa mtu yeyote anayejua madhara ya matumizi ya nguvu za kijeshi ndani ya nchi, basi lazima apate tashwishwi!...Jeshi lina nguvu sana, hasa pale linapopambana na watu wasio na silaha, hasara ni kwa raia, tena kubwa kupita maelezo!
Sasa rais ambaye watu walimwamini hapo mwanzo kutokana na kuchekacheka, ghafla ndiye huyu anawageuka....anaandaa silaha ili kubaki madarakani!
Kuna wataalamu hapa ndani walisema "Siasa ni jambo nyeti mno, kiasi kwamba haiwezekani kuwaachia Wanasiasa peke yao waiendeshe"[/QUOT

Na hatutawaachia, time will tell.
Baadaye , tuitaonana pale kwa jana. moja baridi moja moto.....teh teh teh!


 
Ee Mungu utuepushie mbali balaa hili. Wafunulie watanzania wote wajue rais wa kweli nayetakiwa kwa wakati tulio nao. Nao wajitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura ili kwa nguvu ya hiyo kura ndoto ya mabadiliko ya kweli kuelekea kwenye nchi ya maziwa na asli ikapte kutimia. Amina
 
Jamani tuamke sasa kumekucha! Mbona wana-jf mnaleta habari nyeti hizi!!! Jamaa ni mtaalam wa kuchafua wenzake aliwachafua watu ambao labda ndo wangeinusuru tanzania na matatizo haya1 sasa hivi siyo salma, siyo ridhiwan siyo miraji wanahaha kumpitisha mtu wao litawaozea mwaka huu. Ona na huyu mwanahabari wake!! Au ni miongoni mwa walionufaika na ule mgawo nini??

Haya shime wa-tz tumbwage jk

chagua dr. slaa chagua chadema!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sumaye leo anaonekana mali? Siyo nyie mliokuwa mnamwita ZERO?
Haya sasa mvune mlichopanda!

Wangeachaje kumwita ZERO wakati alikuwa amechafuliwa na huyo mtu wenu? Kila gazeti lilikuwa limenunuliwa kuchafua watu ili jamaa afanikiwe kuingia ikulu. Tushirikiane kumwondoa huyu jamaa anayetaka kuifanya ikulu kuwa milki yake!

Chagua Dr. Slaa, Chagua CHADEMA
 
WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE FREDERICK SUMAYE AMBAYE ALIKUWA MMOJA WA WATU WANAOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS WA CCM 2005; ALIPATA KUTAMKA KUWA MTU YEYEOTE ANAYETUMIA KALAMA (MAGAZETI) KUWACHAFUA WAGOMBEA WENGINE, AKIFIKA HUKO ATATUMIA RISASI KUNG'ANG'ANIA IKULU ASITOKE.

May the Almighty God bless you for this insightful thread..........I totally tally with your views...............
 
ALIPATA KUTAMKA KUWA MTU YEYEOTE ANAYETUMIA KALAMU (MAGAZETI) KUWACHAFUA WAGOMBEA WENGINE, AKIFIKA HUKO ATATUMIA RISASI KUNG'ANG'ANIA IKULU ASITOKE.


Sumaye tulia nyumbani na familia. Nimesikia unafanya kampeni kumsaidia msanii JK.

Achana naye.

Alishasema: Urais wake "hauna ubia na mtu". Tena akaongeza: "Urais ni suala la kifamilia"
 
Kumbe sumaye aliona mbali, aliangalia alivyokuwa akidhalilishwa na magazeti, akaona jinsi Kikwete alivyokuwa tayari kutumia mbinu yoyote hata nguvu za giza ili apate tiketi ya CCM: ndipo akaona kuwa mtu huyu hatakubali kwa vyovyote vile Demokrasia ichukue mkondo wake.

sasa kila dalili zinaonyesha kuwa utabiri wa Fredrick Sumaye utatimia siku si nyingi maana dalili zimeisha onekana kuwa Kikwete anaelekea kutumia risasi za moto kuwatisha watu wasikatae matokeo yatakayo tangazwa.
 
Mh. Sumaye aachane na huyu JK aogelee mwenyewe kaingia ziwani mwenyewe.Kama yakimshinda kivyake.Sumaye muda ulionao tumia kusoma magazeti na kutembelea mashamba yako.Tumekusamehe.
 
Mh. Sumaye aachane na huyu JK aogelee mwenyewe kaingia ziwani mwenyewe.Kama yakimshinda kivyake.Sumaye muda ulionao tumia kusoma magazeti na kutembelea mashamba yako.Tumekusamehe.

hata kama alifanya makosa gani, ni lazima pia tukumbuke na mazuri yake!! Utabiri wa Sumaye karibu utatimia na ndipo tutajua tulipokosea mwaka ule wa 2005. Salim alisingiziwa kuua, Malecela alisingiziwa kuuza nchi kwa Wairan, Sumaye alisingiziwa kila lililo baya ili tu Kikwete apitishwe kugombea.!
Alipitishwa na tulimchagua kwa kishindo lakini amejichafua mwenyewe kwa kukumbatia mafisadi na hachaguliki tena. Sasa anatutisha na kuonyesha dalili kuwa atatumia risasi za moto kuhakikisha anarudi madarakani.
 
hata kama alifanya makosa gani, ni lazima pia tukumbuke na mazuri yake!! Utabiri wa Sumaye karibu utatimia na ndipo tutajua tulipokosea mwaka ule wa 2005. Salim alisingiziwa kuua, Malecela alisingiziwa kuuza nchi kwa Wairan, Sumaye alisingiziwa kila lililo baya ili tu Kikwete apitishwe kugombea.!
Alipitishwa na tulimchagua kwa kishindo lakini amejichafua mwenyewe kwa kukumbatia mafisadi na hachaguliki tena. Sasa anatutisha na kuonyesha dalili kuwa atatumia risasi za moto kuhakikisha anarudi madarakani.

ZIPO TAARIFA ZINZOONYESHA KUWA KAMATI KUU IMEWAPIGIA MAGOTI WASTAAFU WA CCM KUINGIA KATIK KAMPENI KUOKOA JAHAZI HUSUSNA MKOANI KILIMANJARO. MHE fREDERICK SUMAYE AMETOA MASHARTI KUWA HATAMCHAFUA DR SLAA NA JIMBO LA ROMBO KWA MHE BASIL PESAMBILI MRAMBA HATATIA MGUU ANAOGOPA KUPOTEZA HADHI YAKE.
 
Nasikia hata Mkapa ana kigugumizi cha kuingia kwenye hizi kampeni kwa kuogopa kuhusishwa na makosa "ya dhahiri" ya Kikwete. Salim, Warioba, Butiku na Cleopa wako upande wa Dk. Slaa ingawa wanaogopa kuwa wazi. Hawa ndio kikwete anawalamba miguu sasa wasitangaze wazi kumuunga mkono Mgombea wa Chadema
 
Leo Mwenyekiti wa NEC akitangaza matokeo ya urais ya jimbo la Tunduru Kaskazini alisema

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Mnatufanya wote mbumbumbu kama hatuoni siyo yanamwisho.
 
We're going to purge this den of thieves by the name of CCM, their days are numbered!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
This is too much ; Na watanzania siyo mbumbu ndio waliopiga kura haiwezekani CHADEMA washinde majimbo 22 na Slaa ashinde majimbo 2 . Hii jamani haiwezekani inauma sana kwani CCM wanatafuta kitu hapa
 
Leo Mwenyekiti wa NEC akitangaza matokeo ya urais ya jimbo la Tunduru Kaskazini alisema

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935

Mnatufanya wote mbumbumbu kama hatuoni siyo yanamwisho.

Duh noma kweli elfu moja na mia tisa na sitini na tano
teh teh

By the way,,, ni mwanzo mzuri
 
Back
Top Bottom