Chalamila Aonywe, Asilidharaulishe Jeshi

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,078
Majukumu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzanua, na maheshi mengune yote, yameainishwa kisheria.

Ni Amiri Jeshi Mkuu pekee ndiye anaweza kulielekeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania kufanya shughuli nyingine nje ya shughuli ya msingi, kama kuna dharula, na anaona kuna haja ya kufanya hivyo. Mamlaka hayo anayo Amiri Jeshi Mkuu, siyo Chalamila wala Mkuu wa Mkoa mwingine yeyote. Wakuu wa mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za Ulinzi na usalama mikoani mwao, haimaanishi wamekuwa wakuu wa majeshi yote yaliyopo mikoani mwao.

Tusiwafanye askari wa JWTZ kuwa ni watu wa kupewa amri na kila mtu. Tukiruhusu upuuzi wa namna hiyo kuendelea, kuna siku Wakuu wa Wilaya nao watawapa amri askari kufagia ofisi zao. Baadaye na watendaji wa kata watawaamrisha askari waliopo kwenye maeneo yao ya kiutawala kwenda kufagia maeneo ya shule za msingi.

Kama tunaona ni busara, kazi mojawapo ya kila jeshi ni kufanya usafi wa miji, basi mswada upelekwe Bungeni ili kubadilisha au kuongeza majukumu ya msingi ya majeshi yote kuwa ni pamoja na kufanya usafi kwenye miji. Na hilo likifanyika, Wizara ya TAMISEMI itoe maelekezo kwa majiji, maspaa na halmashauri za miji kufuta kandarasi zote zilizoingiwa na makampuni ya kufanya usafi kwa sababu kazi hiyo sasa ni ya JWTZ, Police, Mgambo na JKT. Na hilo litaifanya Tanzania kuwa nchi ya pekee na ya ajabu iliyoamua kutothamini kazi ya askari wake.

Chalamila anathubutu kueleza kuwa magari ya JWTZ ambayo hayajatengenezwa rasmi kwaajili ya kusomba takataka, eti tarehe 23 na 24 yatatumika kusomba takataka. Yaani magari ambayo huwa yanatumika kubeba askari na mizigo mbalimbali yakatumike kubeba kila aina ya takataka vikiwemo vinyesi vinavyotupwa kwenye mifuko ya plastic, halafu gari hilo hilo kesho yake liwabebe askari, tena wakati ambao kipindupindu kinaendelea kupiga hodi mikoa mbalimbali!

Ushauri: Siasa zisitupofushe kiasi cha kukosa hekima. Rais utakuwa umelipa heshima ambayo jiji la Dar es Salaam linastahili kama ukiwapa Mkuu wa Mkoa ambaye anaendana na hadhi ya jiji la Dar es Salaam. Aliyepo, bila kupepesa macho, viatu vya ukuu wa mkoa ni vikubwa mno kwake. Labda kuna mahali anafaa, lakini siyo kwenye nafasi zinazohitaji hekima.
 
Chala Boy hafai muwa RC Dar mama aliambiwa mapema
 
Kazi kweli kweli /Job True true

20240113_215733.jpg
 
Hajadhalilisha jeshi hata kidogo, ila wanajeshi wenyewe ndo wapuuzi(Mazwazwa) wanakumbatia watu wapuuzi. Jeshi linalinda nchi lakini nchi inatafunwa lenyewe lipo tu linachekacheka kazi kupiga raia mtaani. Yaani komando aliyesomeshwa kwa mipesa kibao anapelekwa Temeke akafanye usafi kwa kauli ya mkuu ya mkoa. Hii nchi bhana popote mlipo CCM naomba ongezeni ugumu wa maisha mamammmae Ili siku tuje kuheshimiana.

Baada ya lile tamko nilikua na jamaa yangu mjeda nikamwangalia nikamuona jinsi anavyosikitika Hana Cha kufanya.
 
Majukumu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzanua, na maheshi mengune yote, yameainishwa kisheria.

Ni Amiri Jeshi Mkuu pekee ndiye anaweza kulielekeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania kufanya shughuli nyingine nje ya shughuli ya msingi, kama kuna dharula, na anaona kuna haja ya kufanya hivyo. Mamlaka hayo anayo Amiri Jeshi Mkuu, siyo Chalamila wala Mkuu wa Mkoa mwingine yeyote. Wakuu wa mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za Ulinzi na usalama mikoani mwao, haimaanishi wamekuwa wakuu wa majeshi yote yaliyopo mikoani mwao.

Tusiwafanye askari wa JWTZ kuwa ni watu wa kupewa amri na kila mtu. Tukiruhusu upuuzi wa namna hiyo kuendelea, kuna siku Wakuu wa Wilaya nao watawapa amri askari kufagia ofisi zao. Baadaye na watendaji wa kata watawaamrisha askari waliopo kwenye maeneo yao ya kiutawala kwenda kufagia maeneo ya shule za msingi.

Kama tunaona ni busara, kazi mojawapo ya kila jeshi ni kufanya usafi wa miji, basi mswada upelekwe Bungeni ili kubadilisha au kuongeza majukumu ya msingi ya majeshi yote kuwa ni pamoja na kufanya usafi kwenye miji. Na hilo likifanyika, Wizara ya TAMISEMI itoe maelekezo kwa majiji, maspaa na halmashauri za miji kufuta kandarasi zote zilizoingiwa na makampuni ya kufanya usafi kwa sababu kazi hiyo sasa ni ya JWTZ, Police, Mgambo na JKT. Na hilo litaifanya Tanzania kuwa nchi ya pekee na ya ajabu iliyoamua kutothamini kazi ya askari wake.

Chalamila anathubutu kueleza kuwa magari ya JWTZ ambayo hayajatengenezwa rasmi kwaajili ya kusomba takataka, eti tarehe 23 na 24 yatatumika kusomba takataka. Yaani magari ambayo huwa yanatumika kubeba askari na mizigo mbalimbali yakatumike kubeba kila aina ya takataka vikiwemo vinyesi vinavyotupwa kwenye mifuko ya plastic, halafu gari hilo hilo kesho yake liwabebe askari, tena wakati ambao kipindupindu kinaendelea kupiga hodi mikoa mbalimbali!

Ushauri: Siasa zisitupofushe kiasi cha kukosa hekima. Rais utakuwa umelipa heshima ambayo jiji la Dar es Salaam linastahili kama ukiwapa Mkuu wa Mkoa ambaye anaendana na hadhi ya jiji la Dar es Salaam. Aliyepo, bila kupepesa macho, viatu vya ukuu wa mkoa ni vikubwa mno kwake. Labda kuna mahali anafaa, lakini siyo kwenye nafasi zinazohitaji hekima.
Wewe nenda kaandamane tarehe 24 stori za kijinga za nini humu jf?
 
US air force na Marine corps eti wafanye usafi wa kuzoa taka New York
 
Haya peleka komwe lako tarehe 24 / Januari ndiyo utajuwa maana ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa
 
Kiongozi yeyote asiyejua mipaka yake ya uongozi inaishia wapi ni mpumbavu, sbb ukiwa kiongozi lazima ujue mwisho wa mipaka yako ya kiuongozi ni wapi, soon RC ataibuka ataanza kusema naamrisha watu wa State House watafagia jiji la Dar J3 na J4..

Huku ni kukosa akili, hujui madaraka ya uongozi wako mipaka yake mwisho wake ni wapi, ukiona hivyo hakuna akili na ushamba pia.
 
Back
Top Bottom