Sumaye kupasua bomu...

Status
Not open for further replies.
Jamani asiyekubali kushindwa si mshindani, kila anayeshindwa anasema anafanyiwa mchezo mchafu so mlitaka wote mshinde?
 
Jamani asiyekubali kushindwa si mshindani, kila anayeshindwa anasema anafanyiwa mchezo mchafu so mlitaka wote mshinde?
Mkuu hivi huoni kabisa hapo kama kulikuwa na mchezo mchafu?

''Tunataka haki itendeke, na pia haki ionekane ikitendeka''
Michael Wambura
 
Mh. Sumaye pale kwenye taarifa yako kama umeandika kigogo au fisadi fulani tunaomba urekebishe,uweke jina halisi.!
 
Mikwala mingi alaf atasema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki:
hana lolote jipya huyo
 
iki na oko na che na che aliyekula dona na ngulu wa kuchoma......... kasema do salale mpenzi kaondoka leo.....! huu mchezo wa kitoto!
hahahahahaaaaaa...... kipande cha "mpenzi kaondoka leo" sikikumbuki, version yetu ilikuwa inaishia na ngulu wa kuchoma...

Mi nadhani mpango mzima wa hizi sinema ni kwamba kina Sumaye wanawalipa waandishi waje kwenye press event, halafu kesho yake wakiuza magazeti wanamrudishia hela ake na cha juu...win-win-lose situation, waandishi na Sumaye mpango mzima, wanunua vichwa vya habari vya uongo imekula kwao
 
Sumaye hana jipya na hawezi kutoka ccm, aachane na siasa, cdm wasimtegemee mtu aliyeshindwa kwenye uchaguz wa ccm!


Mkuu nadhani kama umesoma article vizuri, kuna mahali wamesema "kama Lowassa atagombea basi SUmaye naye atagombea". Kwa hiyo kugombea kwa Sumaye kutakuwa determined na uamuzi wa Lowassa.

Kama kweli hakuna mtu anayejaribu ndani ya CCM kumfanya Lowassa asigombee, sioni ubaya kwa uamuzi wa mzee Sumaye kufanya hivyo. Sumaye anajua kuwa Lowassa akigombea nchi inaenda kubaya, so i applause his courage to show that he cares.
 
Sumaye ni a man from the bench side alafu aje ashindane na mtu ambaye yumo katika gem la sasa la fitna na uzandki?
Sumaye ni out tu.
 
487508_536062093075300_1335002433_n.jpg
 
Lowassa anapata nguvu kwa sbabau ya M/kiti dhaifu...hana kingine, ingekua m/kiti ni mkapa au malecela huyu Lowassa angekua ni footnote kwenye siasa hizi za mwaka 2012. Walichoiba wote kinamsuta sana JK na hataki kumgusa kabisa huyu EL pamoja na kua ameihold CCM Kwa Ransom. (bila urais, tunashindwa wote au tunaua kabisa chama ....sasa sijui akina Mbowe na Slaa anawaona ni salama zaidi ya wezi wenzake ndani ya CCM au ni roho mbaya tu na visasi vya kike)
 
Saa 6 mchana ndo hii. Vipi Sumaye kafika kwenye mkutano au kapatwa na dharula Hanang!!! Manake ndo style yao
 
Wanasiasa wa ccm kama kuku wa mayai.....
Wana faida lakinimpaka uwalishe expensive food...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom