Sumaye akihamia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kosa tulilolifanya kumpokea Shibuda haraka haraka tusirudie kwa crap nyingine. Vinginevyo kama wanataka kujiunga na chama wapata kwanza mafunzo kuhusu sera Chadema na wapewa muda kabla ya kupewa nafasiya kugombea nafasi nyeti kwenye chama chetu. Maana wengine wanakuja na wanajisahau kama ni wanachama wanaanza kufanya mambo yao ya ki CCM. Waelimishwe watathminiwe ndipo wagombee.
 
Kwenye list ya mafisadi hayumo, sijawahi sikia zaidi ya kuchafuliwa nadhani na mafisadi wakati alipokuwa PM. Yeye alikopa pesa toka nssf hakuiba ikakuzwa sana kama vile kukopa ni dhambi. sina mashaka na sumaye, naamini ni msafi, naamini tu.

Mbona wanacham wa hy NSSF hawakopeshwi?? Yeye aliwezaje kukopeshwa:hatari:
 
Straight and plain...!! by any cost huyu jamaa HAFAIIIIIIIIIII!!! Nadhani astaafu tu siasa kama hawezi kubaki aliko, Alikua PM for ten years hakufanya anything zaidi ya ufisadi na kauli za kibabe...!! :hatari::embarassed2:
 
Na ajiunge. Sioni ubaya wowote na si lazima kuwa atakuwa anatafuta urais kupitia CDM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom