Sumaye akihamia CHADEMA

Status
Not open for further replies.

haibreus

JF-Expert Member
Oct 1, 2009
295
106
Kwa yoyote alie angalia vyombo vya habari ataona kabisa jinsi ambavyo CCM wanajikanganya juu ya rais ajae!na kwa maelezo ya Makamba utagundua ni kwa jinsi gani CCM hawamtaki Sumaye,kwani kitendo cha Makamba kumjibu Sumaye kwamba ajenge tabia ya kuongelea ndani ya vikao na kwamba ajibishane na CDM naona ni kama kumtaka Sumaye ahamie CDM!
na pia sijaelewa ni kwa vipi CDM ihusishwe na mgogoro wa UVCCM na Sumaye.
Je wana CDM mpo tayari kumpokea Sumaye endapo atatangaza kuhamia CDM?na je Sumaye anafaa kuwa president?hana kashfa za kifisadi?udikteta?
naombeni msaada!
 
Hafai, hatumhitaji, timu inatosha kabisa sasa tunahitaji vijana wa vyuoni tutawasomesha na wataenda kuchukua majimbo come 2015
 
Sumaye amekwisha sema kuwa Rais uchaguliwa na Wananchi, Chama chake cha siasa na DOLA. DOLA inachaguaje Rais?
 
Unauliza kama sumaye anafaa kuwa rais?fisadi?mzima wewe??!fisadi anadhibitishwa na chombo kimoja tu,mahakama!kama anafaa kuwa rais waweza endesha opinion poll kama walivyofanya wakenya!si kuwauliza wanaforum!!!hatutaki hoja za kinafiki na za kitoto!!!
Kwa yoyote alie angalia vyombo vya habari ataona kabisa jinsi ambavyo CCM wanajikanganya juu ya rais ajae!na kwa maelezo ya Makamba utagundua ni kwa jinsi gani CCM hawamtaki Sumaye,kwani kitendo cha Makamba kumjibu Sumaye kwamba ajenge tabia ya kuongelea ndani ya vikao na kwamba ajibishane na CDM naona ni kama kumtaka Sumaye ahamie CDM!
na pia sijaelewa ni kwa vipi CDM ihusishwe na mgogoro wa UVCCM na Sumaye.
Je wana CDM mpo tayari kumpokea Sumaye endapo atatangaza kuhamia CDM?na je Sumaye anafaa kuwa president?hana kashfa za kifisadi?udikteta?
naombeni msaada!
 
Mtawasomesha vijana wa vyuoni???!thats crazy!vijana wa vyuoni wameshasomeshwa na ccm,hata kama ni kwa shida!mbona chadema wabagudhi,so usipotoka chuoni huwezi kwenda jimboni??ah kumbe chadema wajanja sana,wana2tumia ujinga wa watanzania kupata madaraka!wanajua watanzania wengi ni wajinga wanashobokea vidigrii vya kudesa....duh uchu wa madaraka ni noma
Hafai, hatumhitaji, timu inatosha kabisa sasa tunahitaji vijana wa vyuoni tutawasomesha na wataenda kuchukua majimbo come 2015
 
]SUMAYE anakaribishwa CHADEMA tena kwa mikono miwili. mimi ni mwanachadema na nilyekuwa nachukizwa sana na mwenendo wa SUMAYE kwa maana ya taarifa zilizokuwa zina ripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari. ilifikia mahali nikawa naamini Sumaye ni mwizi na mhujumu wa hili taifa lakini siku moja nilisikiliza hotuba yake na alisema UKIMUONA MTU ANATUMIA KALAMU NA KUMCHAFUA MWENZAKE ILI AIGIE MADARAKANI, IPOSIKU MTU HUYO ATATUMIA NGUVU HATA RISASI ZA MOTO KUMFANYA AENDELEE KUKAA MADARAKANI.nilitafakari kauli ile na bado naitafakari ni kwanini aliongea vile. kutokana na thuma nyingi za ufisadi na uadui mkubwa alionao kati yake na ******. na kwakua huyu ****** anaamini huyu ndie mchafuzi wa kitumbua chake naamini ****** huyu angesha mbabusea kama sii kumsheh yahya. Pia katiba yetu wanachadema inatoa haki kwa kila mtanzania ilimradi tu afuate taratibu na utamaduni wa chama. Sumaye atapoamua kujiunga chadema maana yake ameamua kuchagua uwazi usafi na mwanga. tutampokea na tutamkaribisha. ujasiri anaouonyesha mh. Sumaye kwa sasa ni mzuri na wala tusikubali kuingia katika mtego wa kumkatisha tamaa kwani sasa ni saa ya ukweli kujipambanua. sumae anafaa tukimlinganisha na wenzake.
 
Mtawasomesha vijana wa vyuoni???!thats crazy!vijana wa vyuoni wameshasomeshwa na ccm,hata kama ni kwa shida!mbona chadema wabagudhi,so usipotoka chuoni huwezi kwenda jimboni??ah kumbe chadema wajanja sana,wana2tumia ujinga wa watanzania kupata madaraka!wanajua watanzania wengi ni wajinga wanashobokea vidigrii vya kudesa....duh uchu wa madaraka ni noma
Ebo, vijana gani wanaosomeshwa na ccm, wewe kweli hanazo!
 
Sumaye anao uhuru kama mtu awaye yote kujiunga na chama chochote cha siasa atakacho, what matters nije kwenye hivyo vyama kuna uadilifu na sheria zinazohakikisha mwanachama hawi fisadi? Perhaps wakati wake alikuwa muadilifu however baada ya kukuta hata mkuu wake ni fisadi na yeye akaamua kufanya mambo. Kama sheria na katiba za nchi yetu hii na vyombo vyake vingekuwa makini hamna mtu angeweza kuwa mwizi akiwa madarakani, tatizo karibia kote ni uzao wa rushwa na ufisadi
 
Na aende huko Chadema, sijui anasuburi nini? yeye UVCCM wamemwapia kuwa hatakiwi ndani ya chama chao na Chadema wameacha milango wazi kwa wale wote wanaokosa ccm.
 
Na aende huko Chadema, sijui anasuburi nini? yeye UVCCM wamemwapia kuwa hatakiwi ndani ya chama chao na Chadema wameacha milango wazi kwa wale wote wanaokosa ccm.

Mafisadi wanatakiwa wabaki chamani, sasa huko cdm wakatafute nini, lazima kieleweke, maana wamezidiana kete humuhumu kwenye chama cha M (CCM)
Hata kama umezungukwa na mafisadi kama wewe ni safi utabaki kuwa safi.
Unataka kuniambia ukizungukwa na mashoga na wewe utakuwa shoga, kama sio upupu ni nini? Yeye aliamua kufisadi kwa kuwa ndivyo alivyo fully stop!
 
Sumaye akitoka ccm hafai kujiunga cdm akitoka ccm astaafu siasa, kuhusu kuwa presdaa hafai kwani hatujasahau uongozi wake akiwa pm na alipata kuwaambia wafanyabiashara tz akiwa moshi, kwamba anaetaka biashara zimnyokee aje ccm. sasa huyu ndo mtu wa3 kuwakaribisha wafanyabiashara waliokuja kukiua ccm akienda cdm atawaita tena huko, that's my worry, he should remain fighting for the presidential poll in ccm like wenzake kina mwakyembe, sitta n.k until ccm is totally joined KANU in the 4gotten planet...
 
Kwenye list ya mafisadi hayumo, sijawahi sikia zaidi ya kuchafuliwa nadhani na mafisadi wakati alipokuwa PM. Yeye alikopa pesa toka nssf hakuiba ikakuzwa sana kama vile kukopa ni dhambi. sina mashaka na sumaye, naamini ni msafi, naamini tu.
 
Kuna rumors zilizagaa mitaani kabla ya uchaguzi uliopita,kabla Slaa hajaamua rasmi kuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA,kuwa CHADEMA walimfuata Sumaye na kumuomba agombee Urais kwa tiketi ya CHADEMA lakini Sumaye aliwachomolea.Sumaye kama atahamia CHADEMA,lengo litakuwa moja tu-Kugombea urais 2015.Je potential aspirants wa CHADEMA watakuwa tayari kumpisha??
 
Nop, jamaa ana history mbaya sana huyu. It's good akiomba na sisi kupata nafasi ya kumkatalia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom