Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Je kama mtu akiwa anataka kufanya tendo la ndoa lakini anapo taka kufanya tu nguvu za kiume zina toka hapotena haisimami huwa tatizo nini?
 
Matatizo yanaongezeka kwa kasi lkn hii inatokana zaidi na hofu za watu kuliko uhalisia ktk tatizo lenyewe.
Stress za maisha na mchakmchaka wa siku unawafanya wapenzi kuwa wamechoka sana wanaporudi nyumbani kiasi kwamba mapenzi huwa yanafanywa mara chache kwa kuwa kila mtu ana deadline to meet.

Upatikanaji wa kirahisi kwa picha za ngono kunawafanya baadhi ya watu watumie muda mwingi ktk kujiridhisha au kuhitaji kujisisimua kwa kuangalia picha za ngono zaidi na hivyo kupoteza mvuto kwa wenzi wao.

mtu akishindwa kuperform mara moja hofu hujengeka hii wenyewe wanaiita (performance anxiety) ambapo mtu kila akitaka kufanya anapata hofu kuwa atashindwa na kwa bahati mbaya hofu inashusha uwezo na kwa jinsi hiyo mtu anashindwa kweli.
wanaopenda kuchepuka mara kwa mara nao kila saa wanapenda kutest kitu kipya, wakirudia mtu yuleyule basi hamu inashuka na kushindwa kupiga mzigo ulio sawa!
 
dah yani hata mimi bao la kwanza hua linawahi sana yan hata dakika 2 hua nyingi..then inabidi nipumzike kidogo kulitafuta la pili..ila sasa nikisha rudi mara ya pili naweza nikapga hata saa nzima bila ku come...kama last time ilikua juzi nilitumia saa 1 na nusu sasa sijui itakua na tatizoo
 
Utulivu wa akili pamoja na mazoezi yanatakiwa.Kwa wale wanaowahi sana nawashauri kutumia mbinu moja hivi pale unapohisi kwamba WANAO wanataka kutoka unapaswa kuhamisha mawazo yako toka hapo ulipo.Unaweza kukumbuka msiba wa mtu uliyempenda sana au kukumbuka siku uliyopata shida kubwa na hukuwa na kitu Mfukoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom