SUK yaigomea JMT kupelekwa FBI Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Haya yote kama ni kweli, Tuliyategemea. FBI, na Scotland yard wakiingia znz, Mambo mengi yatafunuliwa, na yamkini mkashangaa kuona Viongozi wakuu wa mauaji hayo, ni watu ambao hamkutegemea. Hivyo kwao ni bora hata kuvunja huo munaouita Muungano, kuliko kuruhusu uchunguzi ambao utawaumbua.
 
We unasubiri FBI na Scotland Yard wakujuze viongozi wa uamusho !.Mbona wanajulikana mchana kweupeeeee.

Haya yote kama ni kweli, Tuliyategemea. FBI, na Scotland yard wakiingia znz, Mambo mengi yatafunuliwa, na yamkini mkashangaa kuona Viongozi wakuu wa mauaji hayo, ni watu ambao hamkutegemea. Hivyo kwao ni bora hata kuvunja huo munaouita Muungano, kuliko kuruhusu uchunguzi ambao utawaumbua.
 
Kulikuwa na taarifa kwamba kuna viongozi ndani ya SUK wanahusika na yanayotokea Zanzibar labda huenda sasa wanaogopa kuumbuliwa.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Taarifa toka chini ya kapeti zinasema Serekali ya umoja wa kitaifa Zainzibar chini ya uongozi wa Dr Shein na makamu wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad wameikatalia serkali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini uongozi wa Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupeleka kikundi cha kijasusi Zanzibar kwaajili ya upepelezi mauaji ya Padre Mushi.

Habari zilizozagaa mitaani kwamba Rais Kikwete ameomba msaada wa mashirika ya kijasusi toka mataifa ya kigeni kusaidia upelelezi uenda zikakwama ikiwa serekali ya SUK itaendelea na msimamo wake.

Naomba kuwasilisha.

Hawawezi kukubali FBI waende wakati wauwaji na wachomaji wa makanisa wapo ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa...
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Taarifa toka chini ya kapeti zinasema Serekali ya umoja wa kitaifa Zainzibar chini ya uongozi wa Dr Shein na makamu wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad wameikatalia serkali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini uongozi wa Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupeleka kikundi cha kijasusi Zanzibar kwaajili ya upepelezi mauaji ya Padre Mushi.

Habari zilizozagaa mitaani kwamba Rais Kikwete ameomba msaada wa mashirika ya kijasusi toka mataifa ya kigeni kusaidia upelelezi uenda zikakwama ikiwa serekali ya SUK itaendelea na msimamo wake.

Naomba kuwasilisha.
Mkuu nashindwa kuamini hilo kwa vile lina elekea kwenye uhaini.
Mtu atajiuliza basi Padre Mushi kauwawa na SUK, ama sivyo wasingekuwa na cha kuficha!
 
Mkuu masopakyindi uhani na ugaidi vitu viwili tofauti.Uhaini ni hali ya kutaka kupindua serekali kwa kutumia mbinu chafu (kinyume na sheria)

Ugaidi ndiyo huo unaoendelea Zanzibar Uamsho,Nigeria Boko Haram,Somalia Al Shabab Palestine Hamasi na Mali MNLA ......

Mkuu nashindwa kuamini hilo kwa vile lina elekea kwenye uhaini.
Mtu atajiuliza basi Padre Mushi kauwawa na SUK, ama sivyo wasingekuwa na cha kuficha!
 
Mkuu wa mkoa wa Zanzibar anamkatalia Rais wa Jamhuri ya Tanzania? Huo utakuwa udhaifu wa kurithi. Unampinga aliyekuweka madarakani na unaendelea kuwepo madarakani? Huo ni Udhaifu wa Kujiamini wa Mwenye madaraka. Boss unawekewa ngumu na subordinate wako? Duh ofisini tunaita insurbbodination. Udhaifu wa hali ya juu wa Boss kudharauliwa na watwana wake. Kama mimi, jeshi lote, ingia, kamata, leta kwangu, hii ni nchi moja, mimi ndio amiri jeshi mkuu, weka hawa ndani mpaka mwisho wao. HAPO UDHAIFU UTAKUWA UMEISHA. UNAKUWA KIDUME KAMA AMINI DADA. UNAREMBA KAZINI WAKATI WEWE NI AMIRI JESHI MKUU. WATACHUKUA NCHI. OHOOO.
 
Mkuu masopakyindi uhani na ugaidi vitu viwili tofauti.Uhaini ni hali ya kutaka kupindua serekali kwa kutumia mbinu chafu (kinyume na sheria)

Ugaidi ndiyo huo unaoendelea Zanzibar,Nigeria Boko Haram,Somalia Al Shabab ......
Nakubaliana mkuu lakini uhaini ni wa viongozi wa SUK kukataa amri halali ya Amiri-Jeshi-Mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Ugaidi umefanywa wa wale wauaji wenyewe, na si ajabu kuna watu ndani ya SUK wanahusika.
At the end of the day watahusika na makosa yote mawili.
 
Halafu tanzania nchi ya ajabu sana kuna wakati maafisa nyeti kabisa utakuta linaropoka bila kujua linaongea na watu gani? kuna jamaa mmoja usalama wa kikwete siku moja nimekaanae kwenye basi akaanza kumwaga siri za serikali huku yeye akijitambulisha mpaka anakotoa na ukoo wake wako wangapi yeye ni mtoto wa ngapi watu tuamsikiliza tu, binafsi mimi nilijiuliza hivi hawa ndiyo usalama wa kikwete anao wategemea....

Kama yeye mwenyewe kataja jina hadi kwao sioni sababu kwanini hujatuwekea hilo jina hapa.
 
Mkuu masopakyindi SUK walifanya mabadiliko ya katiba ambayo yalikuwa yakiondoa ama kupunguza mamlaka ya Rais wa JMT.Mheshimiwa Lissu akaliona hilo akapiga kelele mjengoni yule Mama anayekalia kiti cha enzi cha mjengoni (nisije nikala BAN) maana jina lake nimelisahau kidogo akalikalia,wabunge wa CCM wakalipuuza,mkuu wa magogoni akadhani atakuwa amemaliza kero za muungano kumbe kazizidisha na kuziongeza mara dufu Muungano kweshnei.

Mpaka hapo hakuna uhani mabadiliko ya katiba aliyachekea mwenyewe sasa anavuna alichopanda.
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na observation yako iliyo makini mkuu[MENTION]Kabonde[/MENTION] , inatisha lakini kilkichobaki hapa ni vita kamili kati ya vikosi vya SUK na vya JMT.
 
Mkuu Paulo MSALABA Zanzibar hajafikia hadhi ya kuitwa mkoa,takwimu za sensa ya mwaka 2012 zimebainisha Zanzibar ina idadi ya 1,300,000 tu hii ni sawa na idadi ya watu wa wilaya ya Kinondoni tu.

Mkuu wa mkoa wa Zanzibar anamkatalia Rais wa Jamhuri ya Tanzania? Huo utakuwa udhaifu wa kurithi. Unampinga aliyekuweka madarakani na unaendelea kuwepo madarakani? Huo ni Udhaifu wa Kujiamini wa Mwenye madaraka. Boss unawekewa ngumu na subordinate wako? Duh ofisini tunaita insurbbodination. Udhaifu wa hali ya juu wa Boss kudharauliwa na watwana wake. Kama mimi, jeshi lote, ingia, kamata, leta kwangu, hii ni nchi moja, mimi ndio amiri jeshi mkuu, weka hawa ndani mpaka mwisho wao. HAPO UDHAIFU UTAKUWA UMEISHA. UNAKUWA KIDUME KAMA AMINI DADA. UNAREMBA KAZINI WAKATI WEWE NI AMIRI JESHI MKUU. WATACHUKUA NCHI. OHOOO.
 
Last edited by a moderator:
Jana Imamu wa msikiti kapigwa mapanga mapaka kufa na wotu wasiojulikana huko Zanzibar
Wapelekwa FBI na kwa jilo

Hii serikali inaanza kunipa wasiwasi,
 
Nakubaliana na observation yako iliyo makini mkuuKabonde , inatisha lakini kilkichobaki hapa ni vita kamili kati ya vikosi vya SUK na vya JMT.

Ningefurahi sana endapo ningepewa dhamana ya kuongoza vikosi vya JMT kuingia zanzibar
 
hicho kikundi kinaitwa Ubaya ubaya, halafu kina watoto mpaka wa miaka 15
Nikweli kabisa mkuu, binafsi nilipo fatilia niliambiwa ndiyo maana uamsho kipindi cha makanisa kuchomwa moto walisema wako tayari kushirikiana na serikali kuwafichua waliochoma moto makanisa lakini cha ajabu serikali ikakimbilia kuyakarabati majengo na kuwanunulia vifaa, hii ilikuwa na maana kuwa wanamjua alie fanya hivyo lakini kitendo cha kumwanika ni kuivua nguo serikali ya CCM...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom