Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,786
Taarifa haina miguu wala mikono zaudi ya uchochezi na haiingii akilini labda tu SMT ina taka kuficha kitu kisijekujjulikana na umma. kwa sababu mamo ya usalama ni mamo ya muungano. mamlaka ya Zanzibar ni kutekeleza sera za ccm, Kisha shein Bosi wake Kikwete Wazanzibari ndio hasa wanaotaka uchunguzi ufanyike wa kimataifa ijuulikane mbivu na mbichi. Na nadhani matukio hayna lengo na hila la kuviza maimamo wa Zanzibari ya kudai nchi yao?
Heshima kwenu wanajamvi,
Taarifa toka chini ya kapeti zinasema Serekali ya umoja wa kitaifa Zainzibar chini ya uongozi wa Dr Shein na makamu wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad wameikatalia serkali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini uongozi wa Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupeleka kikundi cha kijasusi Zanzibar kwaajili ya upepelezi mauaji ya Padre Mushi.
Habari zilizozagaa mitaani kwamba Rais Kikwete ameomba msaada wa mashirika ya kijasusi toka mataifa ya kigeni kusaidia upelelezi uenda zikakwama ikiwa serekali ya SUK itaendelea na msimamo wake.
Naomba kuwasilisha.