Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

mtu anaashiria ukichaa hashwaa napopoteza asilimia za kuishi na yeye mwenyewe .faiza jirudie shauri yako
 
Mfikishieni Mh Sugu salaam zangu mwambieni aache kabisa kujibizana na huyu mama mitandaoni maana atamharibia heshima yake.Akae kimya kama haoni.Make huyu mwanamke hana mpango wa kunyamaza.Wanajiaibisha wote wawili
 
Sugu kafungue shauri mahakamani kama kafikisha miaka 7 mchukue umlee mwenyewe achana na huyo fala faiza .....kwanza kanyataaa bhaaa...mwanamke mjinga huyo balaa ...ndiyo maana sisi wengine tunawafanyaga mashamba ya kulodi (unamtotolesha) kisha unasepa natoto wako inakuwa imekwisha

Sugu usimjibu kitu kaaa kimya .....sugu moto chini *2 aaaahaa....aahaaa....aahaaa...ni moto chini
 
Hata mi naona...waala hata siyo chizi huyu demu na anayoyasema ni ya ukweli kwa Sugu coz I know him much!

Tatizo la faiza ni moja tuu...kwambaaa yale ya jana Clouds, Domo aliyotema cheche eti anampa laki 5 misa, rv 4 n' blah blah ni uwongo mtupu!...yy anayaleta in real life na kumshambulia Sugu moto chini
hata mi nimeliona hilooo kawatia uchiz wadada wanaopenda slope loooooh
 
Watu wengi wenye Sonono wanakimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuelezea matatizo yao tena wanawaambia watu ambao hawafahamini kabisa wakiamini ndio msaada watu wenye tatizo hili wanahitaji msaada wa kisaikolojia na kuendelea kuwaunga mkono kwenye mitandao ndio tunakuza zaidi tatizo lao.
Faiza akili yake haiko sawa nadhani ila wanaomzunguka wanaona poa tu na Sugu ni bora akaushe tu kuliko kumjibu anazidi kumtia wazimu,kila unapowaza kuanzisha familia usifikirie tu utapata mtoto gani ila ni vema kuwaza mwenza kama ataweza changamoto za malezi kuna viumbe wengine hautakiwi kuzaa nao kabisa.
 
Unajua kuna mambo mengine huwa tunalaumu wanaume ila sisi wanawake ndio tatizo, kuna baby momas wengine huwa ni drama queens ukiwaintertain unaweza jikuta unaharibu kila kitu. Japo kweli wapo wababa ambao huwa hawajali watoto wao ila huyu faiza anaonekana tu ana tatizo mahali.

Ukifuatilia trend ya hii movie yao,faiza bado anampenda sugu(alishasema mara nyingi tu) hajamove on, she still wants him, kwahiyo anatumia mtoto kama fimbo ya kumchapia sugu.
She still dream that there is a day of union....!!
Let her dream!!yuko desperate sana
 
wanawake wa mujini aina kama ya huyo faiza,sio wa kuzaa nao kabisa,wana nongwa sana.

rafiki yangu mmoja alishawahi kubwagiwa mtoto kazini.

alipigiwa simu na walinzi wa geti la kuingilia ofisini kwake,ikabidi asitishe shughuli zake kwa mda aende getini....ile kufika getini tu,akakibidhiwa mtoto wake.

kuuliza,walinzi wakamwambia kuna mwanamke anaitwa ashura kakuchamba sana hapa getini...mwishoni akatuachia huyu mtoto,alisema umezaa naye.
loooh
 
somo/fundisho: wanaume tutulie...tuepuke kuzaa na "madanga"/wadada wa mujini.
Kabisa. Ushauri murua kabisa huo. Sijajua Sigu alianzaje kuzaa na Faiza asie na maadili namna ile! Ukiabvalia picha anazoposti instagram utapna labosa kwamba Suvu aliglbuvi kuzaa na kahaba yule. Hizi ny**e noma sana
 
Back
Top Bottom