Hii tabia ya mashabiki wa WCB inanikera sana

Krikichino

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
651
1,098
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.

We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine.

Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki zake wanatoka huko watokako wanasema ooh Ila hii ngoma iko number 1 trending au wanakuletea li-screenshot la Spotify sijui cheki numbers hizo.

Same to Zuchu haya mangoma take latest sijui Chapati mara Honey, they are just not good songs. But ukiwaambia mashabiki wa WCB wanasema oooh tuko trending na screenshot wanakuwekea.

Yaani wewe unauliza ishu ya QUALITY wenyewe wanakuletea ishu ya QUANTITY.

Numbers sio kila kitu nyie WCB na ndo maana Grammy unaweza mangoma ya ajabu ajabu yanashinda tuzo. They are based on QUALITY. Vitu kama production, vocal performance, lyrical depth etc.

Na ndo maana Unakuta kwenye category moja anawekwa Angelique na Burna Noy but Angelique Kidjo yanashinda though Burna anauza zaidi yake.

Mtuache hii tabia. Inakwaza Sana
 
Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki zake wanatoka huko watokako wanasema ooh Ila hii ngoma iko number 1 trending au wanakuletea li-screenshot la Spotify.

Same to Zuchu haya mangoma yake latest sijui Chapati mara Honey, they are just not good songs.

But ukiwaambia mashabiki wa WCB wanasema oooh tuko trending na screenshot wanakuwekea.

Yaani wewe unauliza ishu ya QUALITY wenyewe wanakuletea ishu ya QUANTITY.

Numbers sio kila kitu nyie WCB na ndo maana Grammy unaweza kuta mangoma ya ajabu ajabu yanashinda tuzo.

They are based on QUALITY. Vitu kama production, vocal performance, lyrical depth etc.

Na ndo maana unakuta kwenye category moja anawekwa Angelique na Burna Noy but Angelique Kidjo yanashinda though Burna anauza zaidi yake.

Hamjiulizi tu kwanini Zuchu ana subscribers wengi kuliko Ayra Starr na Tems but ameachwa mbali kabisa.

Mtuache hii tabia.

Inakwaza Sana
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.

We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine.

Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki zake wanatoka huko watokako wanasema ooh Ila hii ngoma iko number 1 trending au wanakuletea li-screenshot la Spotify sijui cheki numbers hizo.

Same to Zuchu haya mangoma take latest sijui Chapati mara Honey, they are just not good songs. But ukiwaambia mashabiki wa WCB wanasema oooh tuko trending na screenshot wanakuwekea.

Yaani wewe unauliza ishu ya QUALITY wenyewe wanakuletea ishu ya QUANTITY.

Numbers sio kila kitu nyie WCB na ndo maana Grammy unaweza mangoma ya ajabu ajabu yanashinda tuzo. They are based on QUALITY. Vitu kama production, vocal performance, lyrical depth etc.

Na ndo maana Unakuta kwenye category moja anawekwa Angelique na Burna Noy but Angelique Kidjo yanashinda though Burna anauza zaidi yake.

Mtuache hii tabia. Inakwaza Sana

🤣🤣🤣🤣🤣

Hii ni Tanzania.. ukitambua hili wala hautaumia hata siku moja.. maana wasanii wenyewe wao ni kujali ya hapa hapa nchini.. hizi Grammy sijui nini kwako sio kitu..

Kiufupi.. ndivyo mashabiki walivyo.. no maarifa.. views za YouTube kwako ni furaha sana imetokea hiyo..

Diamond alishuka viwango vya maarifa.. chawa kwake wengi wa maslahi ta matumbo yao kuanzia managers wake..

Ota tu hiyo tuzo
 
CHAWA wanakuja mkuu kurusha makombora kama tupo Gaza, jiandae mkuu
images - 2023-07-26T225023.351.jpeg
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.

We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine.

Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki zake wanatoka huko watokako wanasema ooh Ila hii ngoma iko number 1 trending au wanakuletea li-screenshot la Spotify sijui cheki numbers hizo.

Same to Zuchu haya mangoma take latest sijui Chapati mara Honey, they are just not good songs. But ukiwaambia mashabiki wa WCB wanasema oooh tuko trending na screenshot wanakuwekea.

Yaani wewe unauliza ishu ya QUALITY wenyewe wanakuletea ishu ya QUANTITY.

Numbers sio kila kitu nyie WCB na ndo maana Grammy unaweza mangoma ya ajabu ajabu yanashinda tuzo. They are based on QUALITY. Vitu kama production, vocal performance, lyrical depth etc.

Na ndo maana Unakuta kwenye category moja anawekwa Angelique na Burna Noy but Angelique Kidjo yanashinda though Burna anauza zaidi yake.

Mtuache hii tabia. Inakwaza Sana
Kunywa maji mengi moyo uelee.
 
Why Diamond, vp hao wasanii wengine kutoka Tz ambao wao wapo Unique, why hawafiki hata nusu ya Level ya Daimond au hependi wafikie Level za Diamond.

Yaani ushauri unampa Diamond ambaye yupo mbali, mbona hao wengine huwapi basi wafikie hata nusu alicho nacho Diamond. Ila si shangai kuna wengine chuki zao wamezificha kwenye ushauri.

Mwacheni kijana wa watu, pamoja na kukopi kwake still tuna muona kwenye Nomination za MTV EMA,Trace,BET hata hasipo shinda still bado anaijitahidi.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.

We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine.

Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki zake wanatoka huko watokako wanasema ooh Ila hii ngoma iko number 1 trending au wanakuletea li-screenshot la Spotify sijui cheki numbers hizo.

Same to Zuchu haya mangoma take latest sijui Chapati mara Honey, they are just not good songs. But ukiwaambia mashabiki wa WCB wanasema oooh tuko trending na screenshot wanakuwekea.

Yaani wewe unauliza ishu ya QUALITY wenyewe wanakuletea ishu ya QUANTITY.

Numbers sio kila kitu nyie WCB na ndo maana Grammy unaweza mangoma ya ajabu ajabu yanashinda tuzo. They are based on QUALITY. Vitu kama production, vocal performance, lyrical depth etc.

Na ndo maana Unakuta kwenye category moja anawekwa Angelique na Burna Noy but Angelique Kidjo yanashinda though Burna anauza zaidi yake.

Mtuache hii tabia. Inakwaza Sana

Bro

Mbona Hasira

This is more personal zaidi kwako kuliko ata what u mean kusaidia music

Anyway,
We like ‘watumbuizaji’ sio ‘waimbaji’

We kaimbe huko kwenu sie tutafurahi Mjini na VIBE
 
Kwa hiyo WCB videos zao zina production mbovu kuliko wengineo alaf bado tuzo za kimataifa na matamasha mbalimbali wana opt kwa wenye kazi mbovu 😂 😂 😂 😂.
 
Sasa hivi wapo underground mkuu, Toka habari za Bwana Ali Msomali kumfanya kitu Mbaya Bosi zienee
 
Back
Top Bottom