SUGU, achana na Muziki!


Maendeleo yanaletwa kwa kuhimiza watu wafanye kazi kwa bidii, la sivyo wabunge wote waanze kutafuta HELA HUKU NA HUKO HATA IKIWEZEKANA KUFANYA BIASHARA ILI TU KUCHANGIA MAENDELEO.

aaaah.......sasa jamaa akiimba wadau wanalaumuuu,,,,nadhan its beta akaimba ili apate wasaa wa kutowaza posho
 

Maendeleo yanaletwa kwa kuhimiza watu wafanye kazi kwa bidii, la sivyo wabunge wote waanze kutafuta HELA HUKU NA HUKO HATA IKIWEZEKANA KUFANYA BIASHARA ILI TU KUCHANGIA MAENDELEO.

Sanaa ni kazi ya maendeleo. Hakuna mradi wowote wa maendeleo ambao unaweza kutekelezwa bila sanaa - angalia ubunifu wa logo, mabango, vipeperushi. Redioni na kwenye luninga matangazo yana muziki kidogo. Mikutano ya kumwaga sera za maendeleo, kuna ka 'Kapteni Komba' kidogo. Uwanja wa ndege tukiwapokea akina 'Obama' wazee wa maendeleo, vijana wanatimua vumbi wakisakata segere, sindimba... Msibani, harusini, kwenye ibada muziki kwa kwenda mbele.... Unasahau ya Kanumba mapema hivi?
 
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
ningekuwa wewe ningewaomba mods waifunge hii thread na kuweka kwenye trash..........aiseeee
 
Pro-Chadema JF jitokezeni Jumapili Mbagala DAR LIVE mkamsaidie Sugu.


DAR LIVE lazime tuwepo na Magwanda juu... Tutaandaa kadi nyingi na M4C lazima kuwavua watu magamba.... Hata wewe usipoangalia vizuri tunakuvua gamba.
 
Bangee mbaya sana,kama ulikua ujui ilo tamasha ni kwa ajiri ya kuchangia ujenzi wa shelu kwenye jimbo lake na pili mziki ndio kazi yake nyingine ni sawa na kumwambia tundu lissu aache uanasheria aendelee na siasa tu,stuka wewe reloy!

Fuatisha hapo kwenye nyekundu. Kwa hiyo Tundu Lissu nae atumie kazi yake ya UWAKILI kupata Hela ya kusaidia wanajimbo wa Singida.
 
Tumwache tu aendee kukuza kipato. Angalau apate hela za kusaidia jimbo lake na za kuchangia chama chake ili kiendelee kuhamasisha maandamano ya uvunjifu wa amani nchini.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
ushauri mzuri sababu hata kuimba kwenyewe hajui amechuja....
 
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.

Ukishakuwa Gamba lazima uwe kipofu
 
Eeee! Vipi tena huyu mtu?...1. Hii ni news alert??? 2. Unaemzungumzia unamfaham au unabahatsha? BANDUGU nisaidieni. JOSEPH HAULE ni mbunge? Wa jimbo ganiii?
 
naona huyu aliyetoa maada ya Sugu hakukisoma kiswahili hata lugha yako hukuweza kuielewa ukaelimika, muziki, sanaa ni vitu ambavyo vinasaidia sana jamii kuelimisha, kuwafikishia umbe n.k. Mimi nakumbuka nimesoma kiswahili fasihi na andishi. Fasihi ndo muziki, sanaa na vingine vinavyofanana na hivi hutumika kufikisha ujumbe kwa jamii inayohusika. So anachokifanya Sugu is acceptable not only because he is a musician but also use his skills to educate the sarrounding society!!!
sugu ni hopeless eti atakua na tamasha mbeya! ana dhalilisha ubunge wake,lazima tukubali mtu kuwa mbunge ni kiongozi,yani sugu ameshindwa kupata hela ya maendeleo kwa jimbo hadi aimbe!
 
Tundu yeye anatumia sheria yake kuwafundisha especially hawa mafisadi wa standard seven wasiojua kama kuiba ni kujizalilisha hadi kifo na kuhukumiwa
Fuatisha hapo kwenye nyekundu. Kwa hiyo Tundu Lissu nae atumie kazi yake ya UWAKILI kupata Hela ya kusaidia wanajimbo wa Singida.
 
Kwani muziki unamzuia kutimiza ahadi zake za kushughulikia kero mbali mbali za wana Mbeya?

tamasha lenyewe ni la harambee kwa ajili ya elimu mbeya. Siyo vibaya sugu kaamua kuwaburudisha wapenzi wake. Kuna watu ni wavivu wa kufikiri,akisikia kitu tu,anakimbilia jf.
 
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.

Umeandika utumbo,Sanaa ni taaluma ya Sugu na ndiyo iliyomfikisha hapo so hawezi kuitupa.Lakini utumbo mwingine ni wewe kushindwa kujua kuwa Onyesho la Sugu analotarajia kulifanya Dar Live ni kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Elimu wa Jimbo la Mbeya.
 
Ushauri butu sana huu. Mbona hujawaambia madaktari, walimu, wafanyabiashara waliojazana CCM kuwa waachane na biashara au ualimu au qualifications zao kwa kuwa tu wamechaguliwa kuwa wabunge?. Nilitaka nisichangie hii thread lakini tunaambiwa kuwa unapoona upotoshaji ni lazima usahihishe. Reframe your thread to have a great thinkers spices.
Hofstede hata mimi nisingeifungua hii thread kama usingekuwa umetoa hii elumu wa huyu mvivu wa kufikiri.
 
Last edited by a moderator:
Simtetei sugu wala mleta hoja ila naomba majibu ya haya maswali.
Who is sugu out of politics, and what give sugu popularity? Je kuacha kuwaburudisha wapenzi wake pale inapobidi si kama atakuwa amejikweza? Na kuna shida gani kama anatimiza wajibu wake kwa wapiga kura na washabiki wake wa mziki? Mziki unamzuia vp kutimiza wajibu wake? Kama mziki ni uhuni, sio wanamziki tu ndiyo wahuni bali hata wadau wote wa mziki ni wahuni.
 
halafu ww!sio unakurupuka tu kwani kwenye muziki anakuwa siku ngapi,mbona komba akiimba nyimbo zenu hamumwambii aache kuimba,yaani pale napo ni sehemu sahihi ya kumwaga swaga za m4c,kazi mnayo.
 
Back
Top Bottom