Sudan ya kusini yahamisha mjii mkuu

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Serikali ya Sudan Kusin imeamua kuhamisha mji mkuu kutoka Juba hadi mji wa Ramciel,uamuzi huo umefikiwa na baraza la mawaziri ambalo lilikaa na kuamua.Wazairi wa Habari Barnaba Marial Benjamin alisema uamuzi huu umeafikiwa kwa sababu Juba ni mji unaokabiliwa na ukosefu wa ardhi.
MY TAKE;Sudan ni taifa chaaanga kabisa,lakini linaweza likaitimiza azma yake,wakat Tanzania hadi sasa inapiga danadana na suala la kuhamia DODOMA
sosi:tehran redio-Iran

Wewe mwenyewe umeishasema wameamua kuhamisha mji mkuu sababu Juba hakuna ardhi sehemu kubwa ni jangwa!
Dar es Salaam, bado kuna ardhi kubwa tena ingine hata kuguswa bado!

Wala maoni yako siyapingi,,,,,ndio upeo wako wa mawazo umeishia hapo,kwani aliyesema ataihamishia serikali dodoma hakuiona ardhi ya kutosha dar????kuna kiongoz gani ambae katika utetez wa serikali alisema dar kuna ardhi ya kutosha????
Wewe mwenyewe umeishasema wameamua kuhamisha mji mkuu sababu Juba hakuna ardhi sehemu kubwa ni jangwa!

Dar es Salaam, bado kuna ardhi kubwa tena ingine hata kuguswa bado!

mi naona kwa tanzania mji mkuu kwenye makaratasi ndio umehama lakini kwa ujumla bado ni dar na wanazidi tu kuvibana vitu hapahapa dar..

kudos sana nchi yetu ya afrika iliyo bora na inatawaliwa na wamarekani..

Kama dodoma imeshindikana waupeleke kigambon
mi naona kwa tanzania mji mkuu kwenye makaratasi ndio umehama lakini kwa ujumla bado ni dar na wanazidi tu kuvibana vitu hapahapa dar..

kudos sana nchi yetu ya afrika iliyo bora na inatawaliwa na wamarekani..

Wala maoni yako siyapingi,,,,,ndio upeo wako wa mawazo umeishia hapo,kwani aliyesema ataihamishia serikali dodoma hakuiona ardhi ya kutosha dar????kuna kiongoz gani ambae katika utetez wa serikali alisema dar kuna ardhi ya kutosha????;
Kweli kabisa unachokisema mkuu, kweli kabisa serikali inatakiwa kuamia Dodoma kama alivyosema Nyerere lakini mfano wa wako wa Juba na South Sudan ni mfu!

Kweli kabisa unachokisema mkuu, kweli kabisa serikali inatakiwa kuamia Dodoma kama alivyosema Nyerere lakini mfano wa wako wa Juba na South Sudan ni mfu!

nilitegemea siku ile ya watawala wote wa wizara walipoitwa na jk dodoma,angetangaza wabaki dodoma kwani ndio makao makuu ya nchi.yahitaji maamuzi magumu

Labda uniambie kwanini serikali ya awamu ya kwanza iliamua dodoma iwe makao makuu??au kama hakuna sababu uniambie pia,vinginevyo unajibu kwa kufikiria kwa tumbo kama si MASABURI
Kweli kabisa unachokisema mkuu, kweli kabisa serikali inatakiwa kuamia Dodoma kama alivyosema Nyerere lakini mfano wa wako wa Juba na South Sudan ni mfu!

Naijeria waliweza,na walikuja kujifunzia hapo dodoma baada ya tanzania kutangaza hilo azimio

nilitegemea siku ile ya watawala wote wa wizara walipoitwa na jk dodoma,angetangaza wabaki dodoma kwani ndio makao makuu ya nchi.yahitaji maamuzi magumu

Labda uniambie kwanini serikali ya awamu ya kwanza iliamua dodoma iwe makao makuu??au kama hakuna sababu uniambie pia,vinginevyo unajibu kwa kufikiria kwa tumbo kama si MASABURI;
Hilo swali ungemuuliza Mizengo Pinda angekujibu mimi sio magamba!
Uwezi kufananisha hali ya South Sudan ya miji ya Ramciael na Juba na hali ya miji ya Tanzania Dar es Salaam na Dodoma, lazima akili yako itakuwa Masaburi ni vitu viwili tofauti kabisa

Ritz,nilichomaanisha mimi ni kwamba kama tanzania tulisema tunahamishia makao makuu dodoma????kwanini tusihamie???sababu ya kuhamia huko ni kwamba dodoma ipo katikati ya nchi so kiusalama ipo vizuri,lakini naijeria waliamisha makao makuu toka Lagos to Abuja,ila kabla ya kuhamisha walikuja kujifunza kutoka dodoma nadhan ile city plan,,,,,kwa hiyo haijalish juba kuna jangwa au uhaba wa ardhi kinachojadiliwa ni ule ytekelezaji wa kuhama,kwanini nasema hivi,tayari suala la dodoma na dar linawachanganya hata watoto wa shule unapowauliza juu ya mji mkuu wa Tanzania,vilevile gharama za kiutawala,ndio maana nikasema SUDAN wanaweza wakafanikisha azma yao sisi bado,maana naijeria wamefanikisha sisi bado na walijifunzia kwetu
Hilo swali ungemuuliza Mizengo Pinda angekujibu mimi sio magamba!

Uwezi kufananisha hali ya South Sudan ya miji ya Ramciael na Juba na hali ya miji ya Tanzania Dar es Salaam na Dodoma, lazima akili yako itakuwa Masaburi ni vitu viwili tofauti kabisa

Hapa nadhani aliyeanzisha hii habari alikuwa na nia nzuri tu na simple kutuonyesha kwamba ni kwa kiasi gani wenzetu wanavyoweza kupanga mambo na kutekeleza na si kuishia kwenye makaratasi kama sisi. Sasa mnaotaka kucomplicate kazi kwenu!

Afadhali furahi umemsaidia mtoa mada,,,,,,,,wazo lake ndio lilikuwa hilohilo,ila si mbaya changamoto zipo
Hapa nadhani aliyeanzisha hii habari alikuwa na nia nzuri tu na simple kutuonyesha kwamba ni kwa kiasi gani wenzetu wanavyoweza kupanga mambo na kutekeleza na si kuishia kwenye makaratasi kama sisi. Sasa mnaotaka kucomplicate kazi kwenu!

Ritz,nilichomaanisha mimi ni kwamba kama tanzania tulisema tunahamishia makao makuu dodoma????kwanini tusihamie???sababu ya kuhamia huko ni kwamba dodoma ipo katikati ya nchi so kiusalama ipo vizuri,lakini naijeria waliamisha makao makuu toka Lagos to Abuja,ila kabla ya kuhamisha walikuja kujifunza kutoka dodoma nadhan ile city plan,,,,,kwa hiyo haijalish juba kuna jangwa au uhaba wa ardhi kinachojadiliwa ni ule ytekelezaji wa kuhama,kwanini nasema hivi,tayari suala la dodoma na dar linawachanganya hata watoto wa shule unapowauliza juu ya mji mkuu wa Tanzania,vilevile gharama za kiutawala,ndio maana nikasema SUDAN wanaweza wakafanikisha azma yao sisi bado,maana naijeria wamefanikisha sisi bado na walijifunzia kwetu;
Baj, nimekupata nadhani tulikuwa hatajaelewana

mtoa mada yuko sahihi kabisa, serikali inapiga danadana kuhamia dodoma kwa kipindi kirefu mno, hivi karibuni Mh. waziiri mkuu PINDA alisema serikali inaanda mchakato wa kupata maoni ya wanachi kuhusu kuhamia Dodoma au kutokuhamia! issue ilikua kutekeleza sasa imerudi tena kutafuta maoni ya wanachi ! Serikali legelege , kigeugeu.

Eeee,maoni yann tena???sasa hapo si kuna gharama mpya,wachukua maoni,waandaaji wa madodoso,duuuu,mbona uundwaji wa mikoa na wilaya mpya ulifanyika kimyakimya bila kuitaj maoni????hawa jamaa kitu kama hawakihitaj utajua tu
mtoa mada yuko sahihi kabisa, serikali inapiga danadana kuhamia dodoma kwa kipindi kirefu mno, hivi karibuni Mh. waziiri mkuu PINDA alisema serikali inaanda mchakato wa kupata maoni ya wanachi kuhusu kuhamia Dodoma au kutokuhamia! issue ilikua kutekeleza sasa imerudi tena kutafuta maoni ya wanachi ! Serikali legelege , kigeugeu.

tatizo la watawala wetu hawajui wanachokitaka kuhusu suala la kuhamia Dodoma, ni ubabaishaji tu basi,
wanatamani wa neget uamuzi wa awali lakini wanaona watapingwa,
kuendelea na mpango wa awli hawawezi maana hela zote zilizotengwa labda zinafanya kazi zingine,
kimsingi hawana kipaumbele ktk hili

Similar Discussions

Back
Top Bottom