Subaru vs Vanguard

MKIBAIGWA

JF-Expert Member
May 25, 2017
520
1,203
Nimekuta huu mjadala twitter

4f389bc6-2a31-42b0-b3a3-4655634c9de4.jpg


Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard
 
Mimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889

Hii ni ya mwaka gani.


Tatizo sisi wengine ni wa ruti zetu nyingi ni kijijini .


Kama nikitaka Subaru ya offroad nichukue ya mwaka gani??
 
Offroad inafaaa??
Aisee sasa hapa inategemea na aina ya barabara, Sehemu zingine Offroad unakutana na tope na utelezi mzito na kwingine Mawe mawe kama Oljoro kule. Sasa sijui ww unataka kuizamisha wapi.
Kama unataka gari za Shamba tafuta Pick up mkuu kwa ushauri wangu tu. Hakuna gari ya Shamba kati ya hzo hapo juu.
Mijini na miji midogo yote utatembea lkn ukisema unataka kuzama Kigoma, mara Arusha kwenye makorongo achana nayo utakufa na presha Mil 30+ ni pesa mingi kuchezea mkuu.
Ushauri wangu tu mkuu.
 
Back
Top Bottom