Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Huyu jamaa si mkweli forester zote zina 60L labda hio 5 pamoja na reserve ila forester I na forester II average fuel consumption ni kuanzia 7.3-8.1 km kwa 1L ambayo ukiizidisha na either 60L au 65L full tank hapo unapata zaidi ya 430km na kuendelea sasa unless awe anaendesha kwenye msongamano mkubwa sana ndo inawezekana kutembea km 350 tu na ku refill na scenario ingine ni hilo gari ni bovu...
Huna hii gari mkuu,hizi gari wastani ni 5km per litre,hata ufanyeje,tatizo 2litre inawazuga wengi,ni kama rotary engine ya 1.3cc,boxer engine zinakula sana wese,hapa utaambiwa 7kml to 10kml,7kml unaipata kwenye non turbo tena na yenyewe uendeshe taratibu,ukifanya fuel management mods unaweza kupata 6kml au mpaka 7kml ila kwa mbinde,ila performance yako ina worth, mimi nafika speed ya 100km ndani ya sekunde 4.6 na hapo bado sijafanya sana modifications
 
Kwamba hio Forester ina Engine tofauti na Legacy B4 ? Legacy B4 fuel consumption naipata kwa 8-9km/L na pia kwenye Fuel Economy inasoma hivyo ukikaa kwenye foleni muda mrefu hua inashuka mpaka 6.5-6.7/L au unataka useme sensor ni mbovu zinazosola fuel economy?
 
Niliwahi kuwa na b4,forester inakula kidogo zaidi,nadhani uzito unachangia au chasis,kwanza b4 uliyonayo ni ipi?subaru za 2006 kurudi chini zinakula sana wese, naona from 2008 nyingi zinakula kawaida ila performance sio kubwa pia labda uchangue special editions
 
Jaribu kupunguza intake yako ndio utaelewa kwa nini Subaru au jamii yeyote ya magurudumu manne haitaki modification.
Sometimes ni kweli,ukifanya modification tu lazma uwe na undugu na garage,watu wanadanganywa,kama wewe sio mtu wa racing huna sababu ya kugusa ecu kabisa
 
Kwamba hio Forester ina Engine tofauti na Legacy B4 ? Legacy B4 fuel consumption naipata kwa 8-9km/L na pia kwenye Fuel Economy inasoma hivyo ukikaa kwenye foleni muda mrefu hua inashuka mpaka 6.5-6.7/L au unataka useme sensor ni mbovu zinazosola fuel economy?
Nilisahau kuuliza,mimi huwa natumia 5.4kml ila ni dsm,sasa wewe sijuh ni mkoa gan
 
Niliwahi kuwa na b4,forester inakula kidogo zaidi,nadhani uzito unachangia au chasis,kwanza b4 uliyonayo ni ipi?subaru za 2006 kurudi chini zinakula sana wese, naona from 2008 nyingi zinakula kawaida ila performance sio kubwa pia labda uchangue special editions
B4 ya 2006 mkuu, zile zina engine moja inayofanana mkuu maana zote ni EJ20 mkuu
 
Mmmmmmmh hiyo yako kimeo mzee baba mimi yangu forester 2009 inatembea 9.9km/l... fanya service inayotakiwa na weka recommended oil... 5w30.... maumivu yakizidi nunua bajaji
 
Kwa foleni za Dar mbona lita 65 kwa km 350 kawaida sana .... yaani 5.4km/litre !!! Ahaaaaaa, wenzio wa Morogoro Rd, from Ubungo - Posta tena ndani ya kitu cha Daihatsu terios Kid (650cc) sometimes mpaka 5 km/litre?! Karibu Dar ujionee maajabu ya foleni ....
Aisee kile ki terious kid kina 650cc lakini naskia kina bugia hatari
 
Mmmmmmmh hiyo yako kimeo mzee baba mimi yangu forester 2009 inatembea 9.9km/l... fanya service inayotakiwa na weka recommended oil... 5w30.... maumivu yakizidi nunua bajaji
Mkuu,hata impreza ya cc1490 haifiki 9kml,uliza hata mtu wa ist anatumiaje mafuta,kwanza wengi hatuweki records za utumiani msfuta,alafu tunatoa data za uongo
 
Back
Top Bottom