Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

sasa kati ya vogue na hiyo subaru ipi inabwia mafuta mengi ?? mbna wenye nazo wanazimudu ?? tatizo umenunua usichoweza mudu we nunua sanlg tu kwa sasa ndo unaweza mudu lita 65 zako unafika south
 
huu uzi wa siku nyingi ila kingine kwa watumiaji wa subaru zenye turbo oil inayotakiwa kutumika ni synthetic oil ambayo imetengenezwa kwa matumizi ya engine za turbo nilikuwa naweka bp na caltex mara zote nikawa naona bomba la moshi linakuwa jeusi sana kama mkaa na asubuhi gari inakuwa na hard start baada ya kuanza kutumia oil hiyo sijaona tena bomba likiwa jeusi na hakuna tena hardstart.oil hiyo ni quartz 9000 inapatikana kwnye vituo vya total bei usijali sana jali ubora inaokupatia kwenye gari
Gear box oil nzuri ni ipi..vpi castrol
 
Mkuu ni kweli ni leader kwenye league lakini ni GAS GUZZULER vile vile, inafaa katika mashindano ya magari au mtu mwenye pesa za kumwaga. Akiona vipi basi aibadirishe/modify iwe inatumia GAS badala ya mafuta, lakini performance yake itakuwa degraded kidogo.
mkuu, kwani kuna hiyo option ya ku-upgrade kutumia gas huko tz?
 
Mkuu hapo umedanganya, labda utueleze ni chaser ipi, ulaji mafuta wa chaser gx100 engine beams 2000 vvti, huwezi kuulinganisha na subaru aidha mjini au safarini, subaru inakunywa mafuta sana kulinganisha na hii chaser.
Subaru ina full time 4WD au AWD hivyo ni lazima ile mafuta zaidi na pia ni nzito kuliko chaser na ina 4 inline cylinders engine.
chaser gx100 ni compact na ina six inline cylinders vvti ngine with rear drive only na ni nyepesi kuliko subaru. hivyo chaser ni far more economic than subaru. chaser ikiwa nzima inakwenda hadi 12km/liter in town na hadi 17 km/liter safarini.
Mkuu samahan japo huu uzi una 5yrs now ila mm nataka unipe tofauti ya chaser na gx 110 asee nazipenda hizi gar n mm ni mtu wa kusafiri kila mwezi mara 1 dar-songea ipi itanifaaa kuanzia ulaji wa mafuta,speed na uimara n je ina maana subaru inasubir kwa chaser nawasilisha
 
Mkuu pengine sikueleweka na neno "performance".
Maana yangu ni mikiki ya hii gari, acceleration ni explosive na kwa vile ni turbo-charged gari chache zina weza kuperform vitimbwi vyake.
Pengine katika kula mafuta Chaser inaweza kuwa ina ubora kidogo maana ni gari niliitumia 10 years ago, lakini kwa speed, maneuverability, stability at high speed , I would go for Subaru.
What about harrier or kluger.?
 
Back
Top Bottom