Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,364
4,065
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.

Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.

Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?

Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?

Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?

Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?

Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?

PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
 
Makolo mna wakati mgumu mno, niamini mimi

Uwazi kabisa hali ya timu yako katika miaka 4 kuwa na makocha 9 unahangaika na FIFA. Hivi wewe kwa kutumia hicho kichwa unawaza FIFA wanaweza ibeba Yanga katika hili swala, na kama jibu ni ndio basi kubali kuwa Yanga ni timu kubwa sana duniani.

Tumia muda wako wisely dogo. Achana na mahabari ya kuokota okota mitaani. Ukiambiwa uoneshe ushahidi wa hizo tuhuma utaweza?

Fatilia kwanza kwann chama kaondoka kwa hasira jana usiku
 
Back
Top Bottom