JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,464
Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa baada ya kumvunjia mkataba.
Bigirimana alishinda kesi hiyo, na Yanga ilitakiwa kumlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo wa FIFA ulipotolewa, lakini haikutekeleza na kusababisha ifungiwe kusajili.
Baada ya kukamilisha malipo hayo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungulia Yanga kufanya uhamisho wa ndani wa wachezaji.
===
Pia soma
1. Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana