Suala la Magufuli ni VITA YA URAIS 2015!

Kikwete ataiacha ccm kwenye hali mbaya kuliko awamu yoyote iliyopita.
 
Mbona hata Ridhwani huwa vinampeleka airport hizo motorcades na ving'ora...naye anaandaliwa uRais!?
 
Huyo hawezi, hana karama ya uongozi wa uma, anayo ya kusimamia barabara au mifugo, watu no no no no no....tupige mbizi?....
 
Hizo ni mbwembwe tu, hakuna lolote.
Ungemwambia Magufuri kuwa hizo mbwembwe mwisho wake ni 2015, naye ajiandae kufulia kama Laurence Marsha.
 
aahh labda anakikohozi anawaishwa mhimbili, siunajua tena magari ya serikali hayana kazi za kufanya za maana
 
Nimetoka Ubungo nakutana na magari kama sita ya usalama wa taifa yanapiga vingora kutokea morogoro kuangalia ndani ya gari lililopo kati Namuona Magufuli nafikiri anatoka Dodoma, waungwana nisaidieni waziri tu anapigiwa security kali hivyo bila hidden agenda?

sisi wengine hatuyajui magari ya usalama wa taifa tusaidie yapoje?
 
Ukiona hivyo ujue usalama wao mdogo sana sababu ya jeuri yao wananchi wamechoka.lazima sasa walindwe
 
Back
Top Bottom