Suala la Kikwete Kutukanwa Kila Mahali Linahitaji kuthibitishwa- Mh. Simbachawene

Jioni hii Simbachawene ametamka bungeni kuwa hakuna Rais mwema kama Kikwete, Rais ambaye anatukanwa kila mahali anakuwa kimya tu bila kuchukua hatua yoyote. mimi sikumpigia Mh. Kikwete kura lakini kwa sababu ni Rais wangu imeniuma sana,
Kwa nini mwenyekiti asimtake Simbachawene kuwasilisha uthibitisho kuwa Rais wetu anatukanwa kila mahala na ananyamaza kimya ?

Kwa hili Simbachawene umemdharirisha Rais wetu, Rais anatukanwa kila mahala ?

Naondoa shilingi kama hana udhibitisho...................
 
lol yuh nuh need fi stop nuh wata gwan,da road caan be rocky but yuh haffi reach the end. Da race nuh fi the swift but fi those who can reach da end.
 
Hana lolote huyu fisichawene..kazi yake kufukuzia watoto wa UDOM na CBE
Ha ha ha ha ha nimeipenda hiyo red, umelipatia jina limfaalo huyo mb. nadhani wananchi wake kama wameamka wanasikitika kwanini wamemtuma awawakilishe. Lakini Ki.ba.kwe sijui hata kama wanaelewa kinachoendelea tz hii, achilia mbali mijadala ya Bunge.
 
Hii habari ni yakusikitisha na pia inachekesha sana, huyu Simbachawene nilidhani ametulia kumbe kidogo ana matatizo; yeye anataka kutwambia nini kwa taarifa hii aliyoitoa maana kila nikiisoma na kutafakali nashindwa kupata taswira ya maana juu ya hilo tamko lake., nabaki na jibu moja tu!

Naona simbachawene amechekecha akili kutafuta kitu chochote ambacho Kikwete anaweza kukumbukwa nalo kuwa alilifanyia hili Taifa tokea apewe madaraka mpaka sasa akakosa, kwa hiyo ikabidi ajisemee kuwa atakumbukwa kwa wema ila kasahau kuwa hilo halikuwemo kwenye ahadi wala ilani ya CCM na pia watanzania hawahitaji wema wa namna hiyo, kwa kifupi hakuna Mtanzania anayeishi na kufurahi wema wa namna hiyo anayoisema haiitajiki kabisa kama watu hawana Umeme, maji safi na salama, elimu bora, huduma bora za afya na tiba, kupungua kwa umaskini miongoni mwa wananchni.

Chawene amesahau kuwa hatukanwi bali analalamikiwa kwa kushindwa kutimiza ndoto za watanzania na hata mambo aliyoahidi yeye mwenyewe kwa mdomo wake wakati anaomba madaraka hayo aliyonayo yamemshinda sasa anapo lalamikiwa Chawene na wenzake wavivu wa kufikiri wasi tafsi kuwa huko ni kutukana, labda kama anatupa taarifa mpya kuwa rais amefungua mlango mtu anayetaka kumtukana hakuna shaka hana neno hata ukienda pale magogoni ukaomba nafasi yakwenda kumtukana Rais ruhkusa! kama watakuzuia kumtukana ana kwa ana unaweza kumtukana hata pale nje ya geti ukaondoka zako! Nadhani huyu naye anachanganyikiwa kwa Unafki.
 
Rais Kikwete ni Mtanzania, Baba, Kaka, binamu , jirani rafiki mzuri tu kwa watu wengi. Lakini sidhani kama watu wanamkosoa yeye kama raia, baba, kaka etc. Kwa ufahamu wangu watu wanaeleza kutoridhishwa na usimamizi wa utendaji kazi serikalini. Viongozi na hasa wabunge wa ccm wakiweza kupata hii logic basi watajaribu kurekebisha mambo na hili linawezekana kabisa ili mradi tu mtu ukubali kukusolewa.

Natumaini CCM watatambua tofauti kati ya Kikwete raia wa Tanzania na Kikwete Rais wa Tanzania na hivyo kutoa kurekebisha mambo kulingana na uhalisia wake na sio kulalamika.
 
Anajikomba tu baradhuli huyo aende zake. Kama hiyo inamwuma, jee inamwuma mamilioni ya Watanzania wasioweza kula milo miwili? Mamilioni wanaolala gizani kwa vitendo vya rafiki zake? Mamilioni ya resources za nchi zinazochukuliwa na wageni? Inamwuma mamilioni ya shilingi rais wake alizozipoteza kwenye misafara ya nje? Asituudhi hapa, kama ataka cheo na aende amwombe huko Ikulu.
Hawa ndio wawakilishi kweli?
 
huo ndio uungwana wa kweli maana hata watoto wa primary wanajua hatuna rais ndani ya nchi hii sio tusi ataonga mpa anaenda kaburini maana yeye hajiheshimu kwa hilo wala sishangai mtu yeyote mwenye heshima ndani ya familia akakosa heshima yake. Na kama hahaeshimu familia yake je ataheshimu familia zingine? rais wetu lakini rukaruka, chovyachovya, starehestarehe, majungu majungu, uongo uongo,etc. usitegemee kunajipya hata angekaa miaka 1000 bado akili yake haiwezi mtuma afanye nini bali ni maskini wa kufikiria hana chakufikiria kama yeye.
 
Anatukana, ndo'maana naye anafanyiwa vivyo. Example.....za kuambiwa changanya na za kwako" "wanapata mimba kwa vihele hele vyao". Kwa style hii unategemea nini, mwanzilishi ni nani. Au raia ndo'wanawajibu wa ku2kanwa na kukaa kimya!!?

Ni kweli jamaa ana maneno mengi ya uswahilini, sasa hapo dawa ni kuandamana maisha yakiendelea kuwa hivi !
 
Jioni hii Simbachawene ametamka bungeni kuwa hakuna Rais mwema kama Kikwete, Rais ambaye anatukanwa kila mahali anakuwa kimya tu bila kuchukua hatua yoyote. mimi sikumpigia Mh. Kikwete kura lakini kwa sababu ni Rais wangu imeniuma sana,
Kwa nini mwenyekiti asimtake Simbachawene kuwasilisha uthibitisho kuwa Rais wetu anatukanwa kila mahala na ananyamaza kimya ?

Kwa hili Simbachawene umemdharirisha Rais wetu, Rais anatukanwa kila mahala ?

Kikwete hajatukanwa, ila anaambiwa ukweli. Nyie waswahili ukiambiwa ukweli unasema umetukanwa. Wakisema anachekacheka, ni ukweli kikwete anachekacheka (tabasamu). Ebu define tusi, then tutachangia vema, maana lazima tuwe na common definition.
 
Jioni hii Simbachawene ametamka bungeni kuwa hakuna Rais mwema kama Kikwete, Rais ambaye anatukanwa kila mahali anakuwa kimya tu bila kuchukua hatua yoyote. mimi sikumpigia Mh. Kikwete kura lakini kwa sababu ni Rais wangu imeniuma sana,
Kwa nini mwenyekiti asimtake Simbachawene kuwasilisha uthibitisho kuwa Rais wetu anatukanwa kila mahala na ananyamaza kimya ?

Kwa hili Simbachawene umemdharirisha Rais wetu, Rais anatukanwa kila mahala ?

Si kweli Simbachawene anamdharirisha Rais, Isipokuwa Rais Anajidhalilisha mwenyewe kama mnabisha naiomba Serikali impangie Rais wetu Ziara katika mikoa ya Kilimanjaro,Mbeya, Iringa, Mwanza,Arusha,Manyara na Morogoro na Afanye Mikutano ya Hadhara wakati Shule zote za Msingi na Sekondari zikiwa Zimefungwa
 
Ndio siasa hizi lazima ujue maana huwezi kuwa na watu kama hawa wakina Simba chawene maana wana matatizo kwenye akili zao maana jana aliongea pumba sana
 
swala la kuuliza ni kwanini anatukanwa? simbachamwene alikuwa akipeleka ujumbe kwa njia ya kiutu uzima, mkulu atafikiria hili na atapata majibu
 
Jioni hii Simbachawene ametamka bungeni kuwa hakuna Rais mwema kama Kikwete, Rais ambaye anatukanwa kila mahali anakuwa kimya tu bila kuchukua hatua yoyote. mimi sikumpigia Mh. Kikwete kura lakini kwa sababu ni Rais wangu imeniuma sana,
Kwa nini mwenyekiti asimtake Simbachawene kuwasilisha uthibitisho kuwa Rais wetu anatukanwa kila mahala na ananyamaza kimya ?

Kwa hili Simbachawene umemdharirisha Rais wetu, Rais anatukanwa kila mahala ?
Mimi sihitaji udhibitisho wa kutukanwa rais, kwani jana wamemtukana wenyewe bungeni, tena ni mbunge wa ccm aliyemtukana.
Huyo mbunge aliyesema wabunge wote wapimwe akili hajui kama rais ni sehemu ya bunge? Hivyo alitaka rais naye apimwe akili! Hili si tusi la moja kwa moja?.
Mwingine aliyehusika moja kwa moja na tusi hilo ni mwenyekiti - ulimuona alivyochekelea mwongozo wa wabunge kupimwa akili. Alichekelea sana utafikiri yeye si mbunge na rais si sehemu ya bunge!
Tunahitaji ushahidi zaidi ya huo?
 
Tatizo sana. Kikwete hatukwani Kikwete kama Rais unavyozidi kumuongelea basi ndo chart yake inapanda vile! umseme vibaya, umpambe, umtukufu, mundugu yote yake yeye anajibu mapigo kistaarabu tu, Yuko Ruvuma kwenye Korosho na Korosho tamu kweli kweli.
 
Nampongeza kwa uvumilivu wake, maana hali ingekuwa tete katika nchi hii. Kukosoa kunakubalika lakini lugha inayoashiria kumvunjia mtu heshima yake yake kwa kwa kweli haifai.
 
Back
Top Bottom